Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

Mara nyingi ukiona mtu anatoa story kama hizi ujue na yeye kuna dili alikuwa amelilenga la kumpa ulaji kwenye hiyo ziara likampita pembeni, kama siyo yeye basi anatumiwa na mtu aliyelenga kunufaika na yeye kapigwa chini. Na inaonekana kuna watu walikuwa wanagombania ulaji kwenye hiyo ziara wakazidiana kete sasa waliokosa wanaamua kuharibu.

Hebu, tusaidie pia ndugu yangu Yericko, lengo la hiyo ziara ilikuwa ni nini? Alilenga kwenda/ alienda wapi na wapi? ni yapi matokeo ya hiyo ziara (matokeo yaliyopatikana au yanayotarajiwa) kwa maendeleo ya taifa letu?

Sheikh Yahya upo kazini unztabiri! Mshukuru mtoa taarifa kwa taarifa aliyokujulisha na siyo kumtaka akafanye kazi ya kufuatilia hayo maswali yako! Kama unataka iamini taarifa yake, kama hutaki baki hivyo hivyo! Na ukitaka taarifa zaidi idai serikali yako sikivu ikupe wakwambie lengo na mrejesho wa hiyo ziara ya propesa muongo dalali
 
Muhongo anafuja pesa za Umma

Fisadi haachi asili yake!

Lazima afanye jeuri hana wa kumgusa.

Issue sio kumuuma, muhimu ni ukweli kuwa hatakiwi kuwa ofisini. Anafanya safari za kujijenga binafsi kwa kutumia pesa za umma.

.... Safi Sana Mtetezi Wa Wezi, Hata Tibaijuka Na Werema Uliwatetea Sana Lakin Wako Wapi, Hata Huyu Mbwa Mda Wake Utafika Tu.

Kama muda wake upo basi tusubiri ufike, ila tusimzuie waziri kutekeleza majukumu yake
 
Polisi walimjibu "hatuna mafuta ya mchezo", chuki zitakukondesha Yerico.
 
Yericko Nyerere wewe n noma, intelligence yako ni Kali kuliko TISS. Hizi data pamoja na zile data za white house naanza kuamini wewe ni TISS ulie elimika. Good job.

Hiyo intelijensi angeitumia kumlipa yule jamaa anaemdai laki 2 ingekua poa sana. Kufanya mashndano ya kitapeli sio vizuri.
 
Last edited by a moderator:
... Huyu Ndo Mbabe Wa Tanzania, Nani Wa Kumgusa. Hata Kikwete Kashindwa Mwenyewe.
 
.... Nasikia Ni Yule Baba Aliemzalisha Mama Yako Akakuzaa Wewe Halafu Mama Yako Mpaka Leo Hajakuonesha Baba Yako.

Ahaaa, Kwa hiyo huyo Yerico ni mme wako? Au ww ndo Msemaji wake?
Usikurupuke Mama.
 
Hahahahahaaaaa huyu jamaa si ndio aliikataa kupanda ndege mara mbili eti anataka first class!!! Hata huo ni uzushi????
 
hapana Mkuu. Muhongo yupo sahihi kwa vile adui wake Reginald Mengi ametoa fedha nyingi kwa ajili ya watu watakaofanikisha kukatwa kichwa cha profesa muhongo. Taarifa zipo


Muhongo ni adui wa watu tunaotaka hela zetu za escrow,ameshaanza kukutana na joto la jiwe musoma safari hii lazima aisome namba
 
Pnchi yake hii. Kamuweka rais kwenye kiganja aogope nini sasa?
 
Kama muda wake upo basi tusubiri ufike, ila tusimzuie waziri kutekeleza majukumu yake

Nonsense! soma thread. Angeenda ziara akafanya kazi zake bila hivyo vituko vilivyoelezwa nani angepiga kelele?
 
Gari ya polisi kuvishwa matairi 4 nao ufisadi.
kujazwa mafuta ya kucover km zote alikopita ni ufisadi.
watu kulipwa posho kwa ziara yote sh laki tano ufisadi,hiyo laki tano ukiigawa kwa siku za ziara unakuta perday wamepewa labda elfu tano tano.
sasa mwandishi unamtoaje dar mpaka huko vijijini na usimpe pesa ya kujikimu?.
hii habari ni pointless.
 
Nonsense! soma thread. Angeenda ziara akafanya kazi zake bila hivyo vituko vilivyoelezwa nani angepiga kelele?
Kama vituko gani sasa,au alitembea kavaa boxer?
 
ametumia kwa matumizi ya umma na si binafsi, mlitaka aende kwa mguu kwenye shughuli za umma?

ufisadi wake upo wapi?

hapo jeuri ipo wapi?



Kwa sababu gani hatakiwi kuwa ofisini?

Unaanzisha mjadala mpya??
 
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi katika ziara ya dalali wa wezi nchini Prof Muhongo kumebainika ufujaji mkubwa katika wizara hiyo kwa ziara ya waziri huyu katika sherehe za krismasi na mwaka mpya.

Kwa upande wa taarifa zilizonaswa ndani ya jeshi la Polisi mkoani Mara nikuwa katika kibali cha tarehe 24 Dec gate pass number 1776857, Muhongo aliomba ulinzi toka jeshi la polisi kisha akaambiwa jeshi halina mafuta ya mchezo mchafu, kuona hivyo Muhongo akaamua kugharimia mafuta na matengenezo ya magari ya polisi na kuwalipa polisi wote atakaoambatana nao katika ziara yake.

Nyaraka zinaonyesha jeshi la polisi lilikabidiwa mafuta ya dizeli lita mia tisa (900) kwaajili ya magari mawili yaliyokuwa yakiongoza msafara huo, Matairi manne mapya kwa ajili ya gari aina ya Toyota Land cruiser, T 381 BQP, Blue ya Polisi.

Malipo hayo yamefanyoka Central store ya Musoma power station, Gate keeper anaitwa Musa anakiri kupitisha, maana ni order ya wizara, Escort ya magari mawili na askari kumi walilipwa posho zao laki tano kila mmoja. Pia Waandishi wa habari Kasoro wa IPP media, walilipwa laki Tatu kwa kila Mwandishi kwa kila story nzuri iliyotoka, Blogger pia walialikwa.

Kula na kulala kwa wote ilikuwa juu ya wizara(Muhongo.

Musoma walikaa Penisula hotel, Tarime walikaa Goldland Hotel, Serengeti walikaa Giraffe hotel, Butiama na Bunda walienda na kurudi.

Hoja ya msingi nikuwa gharama hizi zinatoka katika bajeti ipi pale wizarani??

Kaangalie kwenye budget books kwenye website ya serikali au Bunge. Yawezekana ni bajeti ya vitafunwa!!
 
Back
Top Bottom