gharama kupaua/kuezeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

gharama kupaua/kuezeka

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by aspen, Jul 21, 2011.

 1. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wandugu naomba kuuliza bei ya mabati ya kawaida na yale magumu ya south na gharama ya kuezeka nyumba ya square meter 100 inaweza tumia mabati kiasi gani nawasilisha
   
 2. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe mtafute fundi mtaalamu wa bati akufanyie estimation!na pia ujue bati lako linakaaje?manake ukishajua unapauwa kivipi ndio utajua idadi ya bati!ukishajua idadi ya bati njoo hapa tukupe mau janja!fundi akueleze kuwa ni bati za urefu gani zinahitajika!sie tutakupa ma ujanja!
   
 3. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  mkuu sallaaam,
  kwa mabati magumu yana size ya 1x3m hii ina maana 100/3 inakua 33 so inabidi uyanunue 33,tatizo yako local mno ...ukitaka vigae vya south vile ni 1.7mx0.37 hii ni sawa na 0.629 so inakua 100/0.629 inabidi ununue vigae 159...ila tatizo vinapata kutu baada ya miaka 4 ukitaka kitu quality,
  nenda nabaki afrika pale mwenge karibu na cocacola na ramani yako kuna vigae vya new zealand guarantee 50 yrs na mafundi watakupa....4 more info nipm
   
 4. T

  Tofty JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  maishapopote,

  kwa nini umwambie akuPM? Why not posting it here for the benefit of everyone as there are many people that will benefit for the info you have in possession.
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  anataka kumchakachua kimya kimya kaona wa shamba huyo!
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mkuu usianike email address yako........inaweza kuleta tabu.....mwabie aku PM
   
 7. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hawawezi kunipata kaka kwa hiyo email
   
 8. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Muhimu nikuweka wazi kila kitu ili tuelimike wote..
   
 9. k

  kakolo Senior Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwanza kabisa mbali na materials ina bidi wewe mwenyewe usimamie maana ndugu watakupiga kuanzia material na labour. Kama bati la kawaida nenda Nyerere rd opposite na Radio Tz kuna jamaa agent wa Aluminium bati chapa simba haipati kutu bati moja 20,000 la kwa bunddle la 12pcs unalipa 220,000 uki- bargain unanunua kwa 200,000. Mbao Buguruni kona pale wanauza bei nzuri wanakupa na usafiri kutegemea na mzigo.

  Kazi kwako.
   
 10. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu hao jamaa wa mbao wanauzaje kwa running feet ya treated timber ya mninga au mti mwingine imara? Asante.
   
 11. k

  kakolo Senior Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mwezi uliopita wanauza sh 600 unaweza kupatanisha wanauza hadi sh580 hizi ni 4 x 2. Ziko treated na wakati wa kunapima ubao hadi ubao gharama ya kuyasogeza ni juu yao. Wewe unakuwa nakidaftari una record basi. Watapeleka mashine kupasua kama ni 4 x 4 na kama si sikosei walini charge sh 100 au sh150 kila njia moja. Watapakia ukimaliza kuhesabu na wanakupelekea. Unaweza wapa hela kidogo ya kushushia ili wakupangie vizuri. Vizuri uwepo au uwe na mtu unayemuamini sana maana wataku fisadi kwenye futi, idadi na bei.
  Waya za kufungua kenchi shs2500.

  Kama bati za kawaida futi 6 zinakuwa 12 bunddle moja, futi 5 zinakuwa 14pcs kwa bunddle. Misumari ya aina yote (Size) sh 2500 kwa kilo. Cement ilikuwa 12500 lakini bei imeongezwa na serikali sasa ni 13500, Lori kubwa la mchanga 130,000, Lori la kokoto kubwa sh 300,000, Madirisha ya aluminium material ya Dubai na USA dirisha la 5 x 4 na kioo cha 5mm one way sh 250,000. yale madogo ya vyooni sh 50,000. Ila uwe makini maana wanaweza kukuchomekea frame zinazochunika kwa urahisi so uwe na mtu anayezijua.

  Kila la kheri.
   
 12. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri na nitayafanyia kazi. Vipi bei ya treated timber za 2x2 na 2x3 kwa running feet?
   
 13. k

  kakolo Senior Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Umeme ndugu yangu. Hizo mbao ni treated - Ila Mninga treated sijawahi kuona wala kusikia. Ila kama ni mninga wa milango au vitanda inategemea kwa frame za milango ni 30,000 ubao moja futi inazidi size ya mlango, zile za top bei imenitoka ila ni vyema kununua milango iliyotendenezwa maana ni 180,000 - 220,000 kama sikosei pale veterinary au sehemu fulani Tandika nikimpata mtu akanipa jina nitakupa. Ila mninga hauwi treated labda mimi ndio sijui.
   
 14. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Kwamba ulijaza details za uongo wakati wa kucreate account? Wajanja tunakupata,labda usi.reply. Uki.reply e-mail yangu nitakuanika hadharani.
   
 15. u

  ureni JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Sijawaelewa watu gani hao hawawezi kukupata?kwani wakikupata kuna shida gani?
   
 16. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  bulishit
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jambo la muhimu kujua nyumba yako umekusudia kuipaua kwa mtingo gani, maana gharama na idani ya mbao, mabati, misumari nk idadi hutegemea na aina ya paa yako. Kama ni ya mtindo wa mgongo wa tembo ujue gharama za mbao nafuu.

  Ni vizuri ukawa na mtu anayejulia kidogo mambo ya mapaa, maana fundi akikuambia zinahitajika mbao (refters) au mbao mtambaa panya utabaki kushangaa ni sababu tu ya viambisho vya maneno ya kifundi.
   
 18. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu nahitaji kokoto nyeusi na mchanga kwa wingi. I might need trip kama 15 za kokoto na 15 za mchanga kwa lori kubwa la tani 18. Kama kuna mwenye gari unayemfahamu, please nipe contact zake.

  Tiba
   
 19. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hilo duka linaitwaje,wapo wapi,una namba zao ?nahitaji madirisha
   
 20. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2014
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ndugu kakolo, Buguruni kona ni wapi? karibu na mataa/shell? una contact na hao jamaa au jina la kampuni
   
Loading...