Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Ndugu yangu hakuna anyependa kuona vifo vya mama ama watoto. Katika hospital za private kwanza wanao uwezo (CS capacity) na pia ni rahisi lakini inaingiza pesa hiyo huduma. Jibu kwahiyo ni kwamba wakimuona anayo matatitizo yanayoweza kufanya ugumu katika kuzaa kawaida wanaamua kumuweka katika operation
Hapo hapo Mkuu,kuna dada mmoja alienda Private hospital moja ya wahindi(famous) baada ya muda walitaka kumfanyia operation kwa ajili ya kujifungua bt mwisho wakaamua kumchana kizazi,tena kwa kitu kama wembe na mtoto akatoka so hakukuwa na Operation tena ya tumbo,so mi hii kitu ya operation kwa hizi Private sina imani nao,operation ina approach 1Million,na kina mama wengi wanaenda hospital za serikali wanajifungua tena bila operation,wamama wengi wa uswazi wanajifungua kila kukicha,hosp za serikali,ila ukienda private tu majanga....utasikia njia yako ndogo,kwanini wasichane,ukikomaa ndo wanaiongeza mtoto anatoka,ukiwa kimya kisu tuu,inauma sana sana...
 
Hongereni...

Kuna pale Hebert Kairuki Mikocheni,they are the best ila sijajua kuhusu bei zake

Mkuu usipime, hapo nilimpeleka wife miaka 2 iliyopita. Waliniambia ni laki 1. Huduma ilikua nzuri but baada ya kujifungua akaruhusiwa after three days, kimbembe invoice niliyoletewa,alma nusura nizimie! Invoice ilikua inasoma Tshs 936,000/=. Nikajiuliza toka ile niliyoambiwa laki 1 hadi huko? Nikajipinda nikalipa nikaondoka na mke wangu na mwanangu,ila duh si mshauri mtu!
 
hili nalo neno we bado unajua wazungu wanaakili??mifumo ya ufundishaji ndo kikwazo kwetu,na pia wenzetu wamewahi kulion jua tu nothing more,aliyekwambia wajapani,wahindi,wachina na wengineo wanaakili kushinda ngozi nyeusi ni nani??jitmbue na uache kukurupuka bila kuwa na facts za kutosha,nenda ka google advantaje za CS utaona,hakuna anayependa kisu but kila kitu kina (-ve) na (+ve) jiulize kwa nini wanawake wengi siku hizi ni CS je huwa wanalazimishwa kule hosp or what??
sio kwamba 'wana akili' on permanent basis bali kwa nyakati za sasa kwa maana ndio wanaelekea hata kwenye Mars huku sisi tukiacha hata maji ya mto Rufiji yakitiririkia baharini wakati tukinywa ya visima vya chumvi na vyoo. Kupinga hii point inahusiana zaidi na suala la muda kuanzia pale tunapojitambua na kuendelea kuonyesha uwezo wetu wa kufikiri.

 
ukikomaa ndo wanaiongeza mtoto anatoka,ukiwa kimya kisu tuu,inauma sana sana...[/QUOTE] Ndugu Monaco hilo pia laweza kuwa kweli. Kujifungua kawaida ni sifa pia kwa mama mzazi hasa kwa mila zetu tulio wengi (wabantu). lakini pia ni ukweli kwamba wakina mama wengi hawapendi kuchanwa njia ya uzazi maana utakuwa na kidonda na kikipona utakuwa na kovu na pia huenda ikaharibu njia yako (anatomically). Kovu la tumbo kwa wataalamu ni dogo sana na linapona haraka tu mzazi akizingatia maelekezo.
 
wife ametoka kujifungua siku 2 zilizopita pale agakhani,gharama yake ni 2,814,500/= kama hakutakuwa na complications nyingine zaid ya OP.Wataalamu wanasema njia salama ya kujifungua ni CS kwakuwa motto natolewa bila misukosuko yoyote so hata brain zao zinakuwa safe na wanakuwa bright sana ukilinganisha na wale ambao huwa wanajifungua kwa njia za kawaida zile pilika pilika za kuvuta,mara sukuma mototo wanasema zina distrurb brain za watoto,lakini pia utaendelea kufaidi tunda lako katika hali ile ile UKIFIKA MUONE Dr.CHANJI NI BONGE LA Dr.
Acha mwanamke afanye kazi yake aliyopewa na mwenyezi Mungu wewe usilete ulimbukeni wako hapa. CS inashauriwa tu pale ambapo daktari atashauri kwa kuangalia hali ya mama ikiwa hawezi kujifungua kwa njia ya kawaida.tatizo vijana wa siku hizi mnaiga sana vitu vya western ambavyo hata hamuelewi mantiki yake!!!!! unafikiri kulea kidonda ni mchezo na hapo hapo unampa mwenzako kilema cha maisha!!!! mama ale vizuri tuu balanced diet kipindi cha mimba atazaa vizuri tuu kama mwili wake unaruhusu!!!!
 
Back
Top Bottom