Kuzuiwa kwa maiti ya mtu baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitali

Jul 22, 2022
20
38
Tatizo hili la kuzuia maiti ya mtu mara baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitalini linawatesa watu wengi sana hususani wenye kipato cha chini, kwasababu si kwamba watu hufanya makusudi kutelekeza maiti za wapendwa wao hospitali bali ni hali ngumu ya maisha na deni kuwa kubwa zaidi ya kipato chao.

Mfano kutoka kwenye chombo cha habari gazeti la Mwananchi la Alhamisi tarehe 23-9-2021 walichapisha kwamba hospitali ya Muhimbili ilishikilia mwili wa marehemu anayeitwa Zena Musa mwenye miaka 30, baada ya ndugu zake kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 1.6.

Ingawaje serikali inajitahidi sana kukataza kitendo hiki mfano kutoka kwenye chazo cha habari "Jamii forums" Mheshimiwa Naibu Waziri Wa Afya Dkt Ndugulile naye apiga marufu kitendo hicho cha kuzuia maiti ambapo alisema "ni marufuku hospitali kushikilia maiti kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa". Hii ni baada ya mkasa kumpata Bwana Shabani Mtepa mkazi wa Tandahimba Kwa ajili ya huduma ya kujifungua. Alipofika hospitalini hapo alifanyiwa upasuaji kisha akajifungua mtoto mwenye afya njema lakini mama mwenyewe hakuwa na maendeleo mazuri kwani alivuja uchafu mwingi sana Kwa muda wa siku nne mfululizo. Alipofika siku ya tano alirejeshwa theatre kwaajili ya upasuaji mwingine hali iliendelea kuwa tete, kwani tatizo lile lile la kuvuja uchafu liliendelea na madaktari waliamua kumfanyia upasuaji kwa mara tatu hata hivyo hakukuwa na mafanikio yoyote kwahiyo wakaamua kumpa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa wa mtwara (Ligula) kwa matibabu zaidi. Madaktari wa Ligula pia walishindwa kutatua tatizo lililomkaribia mama huyo hivyo waliamua kumsafirisha hadi hospitalini ya Taifa yaani Muhimbili aliendelea kupata tiba hapo muhimbili Kwa siku nne na ilipofika siku ya tano yaani usiku wa kuamkia tarehe 7 Julai 2020 huyu mama aliaga dunia huku akimwachia mumewe mtoto mchanga wa wiki mbili.

Baada ya hapo ndipo kijana shabani Mtepa alipoanza kufuatilia maiti ya mkewe ili akahifadhi kwenye makazi ya milele lakini akakutana na kigingi cha kutakiwa alipe kiasi milioni 1,470,800 huku akiwa na hali ngumu ya maisha.

Hata kaburi lililoandaliwa kumpumzisha mwili wa marehemu lilifukiwa baada ya kuzuiliwa Kwa mwili huo.
Kutoka kwenye chazo cha habari gazeti la mwananchi la alhamisi tarehe 23 septamba 2021 Pia Kwa kuonyesha tatizo ni kubwa Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alimwagiza Dkt Gwajima kuangalia namna gani utaratibu utaandaliwa kuondoa kadhia ya maiti kuzuiliwa hospitalini.

"Tunaambiwa mtu asiende kuzikwa mpaka deni limelipwa, lakini si deni la serikali nataka muweke mpango mnzuri wa kulipa deni bila kuzuia maiti" alisema Rais Samia. Moja kati ya mpango mzuri ni kutoa gharama za matibabu wakati matibabu yakiendelea. Siyo siku mgonjwa amefariki dunia unadaiwa shilingi milioni 3 huku, anafanya mpango namna gani? Taratibu za mazishi? Hii sio sawa, naomba muweke mpangilio mzuri wa kuyashughulikia haya", aliagiza Rais samia.

Licha ya malalamiko yote haya tatizo bado lipo na watu wanazidi kuteseka. Inahitajika serikali kuangalia suala hili kwa jicho pana zaidi kwa kusaidia kuandaa mikakati minzuri na sheria nzuri zitakazoziongoza taasisi hizi za afya katika kutoa huduma iliyo bora. Pia kunahitajika elimu ya kutosha Kwa wananchi ili waweze kufahamu utaratibu uliowekwa na taasisi za afya baada ya watu kushindwa kulipia gharama za hospitali ili waweze kuchukua maiti za wapendwa wao.

Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo hili kwasababu pia ya kukosa uelewa, kuwa inawezekana kwenda ustawi wa jamii na kupatiwa msaada ambao utawawezesha kupata msahama wa gharama za matibabu utakao pelekea kuwaachiwa kwa maiti za wapendwa wao, ila wananchi wengi hawalitambui hili.

Kwahakika kunahitajika uboreshwaji wa sera za afya na sheria za afya kwa upana zaidi ili kuweza kuwagusa watu wenye hali ngumu. Maana kwa Tanzania watu wenye kutumia bima ya afya wanafika 10%, hii ni baada ya kushindwa kulipa ada za uanachama. Inabidi serikali iangalie namna ya kuwasaidia watu wa hali hii kuweza kupata huduma ya bima kwa kipato chao.
 
Tatizo hili la kuzuia maiti ya mtu mara baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitalini linawatesa watu wengi sana hususani wenye kipato cha chini, kwasababu sikwamba watu hufanya makusudi kutelekeza maiti za wapendwa wao hospitali bali ni hali ngumu ya maisha na deni kuwa kubwa zaidi ya kipato chao

Mfano kutoka kwenye chombo cha habari gazeti la mwananchi la alhamisi tarehe 23-9-2021 walichapisha kwamba hospitali ya Muhimbili ilishikilia mwili wa marehemu kwajina anaitwa Zena Musa mwenye miaka 30,Baada ya ndugu zake kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 1.6.

Ingawaje serikali inajitahidi sana kukataza kitendo hiki mfano kutoka kwenye chazo cha habari "Jamii forums "Muheshimiwa Naibu Waziri Wa Afya Dkt Ndugulile naye apiga marufu kitendo hicho cha kuzuia maiti ambapo alisema" Ni marufuku hospitali kushikilia maiti Kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa hii ni baada ya mkasa kumpata bwana shabani Mtepa mkazi wa Tandahimba Kwa ajili ya hudumu ya kujifungua alipofika hospitalini hapo alifanyiwa upasuaji kisha akajifungua mtoto mwenye afya njema lakini mama mwenyewe hakuwa na maendeleo manzuri kwani alivuja uchafu mwingi sana Kwa muda wa siku nne mfululizo alipofika siku ya tanoalirejeshwa theatre kwaajili ya upasuaji mwingine hali iliendelea kuwa tete kwani tatizo lile lile la kuvuja uchafu liliendelea na madaktari waliamua kumfanyia upasuaji kwa mara tatu hata hivyo hakukuwa na mafanikio yoyote kwahiyo wakaamua kumpa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa wa mtwara (Ligula)Kwa matibabu zaidi ila nao madaktari wa Ligula walishindwa kutatua tatizo lililomkaribia mama huyo hivyo waliamua kumsafirisha hadi hospitalini ya Taifa yaani muhimbili aliendelea kupata tiba hapo muhimbili Kwa siku nne na ilipofika siku ya tano yaani usiku wa kuamkia tarehe 7 Julai 2020 huyu mama aliaga dunia huku akimwachia mumewe mtoto mchanga wa wiki mbili.

Baada ya hapo ndipo kijana shabani Mtepa alipoanza kufuatilia maiti ya mkewe ili akahifadhi kwenye makazi ya milele lakini akakutana na kigingi cha kutakiwa alipe kiasi milioni 1470800 huku akiwa na hali ngumu ya maisha.

Hata kaburi lililoandaliwa kumpumzisha mwili wa marehemu lilifukiwa baada ya kuzuiliwa Kwa mwili huo.
Kutoka kwenye chazo cha habari gazeti la mwananchi la alhamisi tarehe 23 septamba 2021 Pia Kwa kuonyesha tatizo ni kubwa Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alimwagiza Dkt Gwajima kuangalia namna gani utaratibu utaandaliwa kuondoa kadhia ya maiti kuzuiliwa hospitalini

"Tunaambiwa mtu asiende kuzikwa mpaka deni limelipwa,lakini si deni la serikali nataka muweke mpango mnzuri wa kulipa deni bila kuzuia maiti"

Moja kati ya mpango mnzuri ni kutoa gharama za matibabu wakati matibabu yakiendelea,siyo siku mgonjwa amefariki dunia anaambiwa shilingi milioni 3 huku anafanya mpango namna gani ?taratibu za mazishi.Hii sio sawa naomba muweke mpangilio mnzuri wa kuyashughulikia haya aliagiza Rais samia

Licha ya malayalam yote haya tatizo bado lipo na watu wanazidi kuteseka.

Inahitajika serikali kuangalia suala hili Kwa jicho pana zaidi Kwa kusaidia kuandaa mikakati minzuri na sheria nzuri zitakazoziongoza taasisi hizi za afya katika kutoa huduma iliyo bora,Pia kunahitajika elimu ya kutosha Kwa wananchi ili waweze kufahamu utaratibu uliowekwa na taasisi za afya baada ya watu kushindwa kulipia gharama za hospitali ili waweze kuchukua maiti za wapendwa wao.

Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo hill kwasababu pia ya kukosa uelewa kuwa inawezekana kwenda ustawi wa jamii na kupatiwa msaada ambao utawawezesha kupata msahama wa gharama za matibabu utakao pelekea kuwaachiwa Kwa maiti za wapendwa wao ila wananchi wengi hawalitambui hili.

Kwahakika kunahitajika uboreshwaji wa sera za afya na sheria za afya Kwa upana zaidi ili kuweza kuwagusa watu wenye hali ngumu maana kwa Tanzania watu wenye kutumia bima ya afya wanafika 10%hii baada ya kushindwa kulipa ada za wanachama ,ikibidi iangalie namna ya kuwasaidia watu wa hali hii ilkuweza kupata huduma ya bima kwa kipato chao.
Wafanye kuongeza kodi kwenye baadhi ya bidhaa then hilo fungu liwe la wizara ya Afya ..... huku hospital huduma zote ziwe bure ... Tozo zitatugusa wotee.

Mh waziri naomba na hili mkalitizame
 
Yaani ingefaa zaidi liangaliwe hili swala ,maana hali za watanzania hazifanani kabisa,maana kuna wengine wanashindwa hata kupata milo mitatu Kwa siku Kwahiyo wakikumbana na tatizo hilo wanashindwa kumudu gharama hizo za matibabu mfano mwanafunzi lightness shirima anayesoma chuo cha serikali za mtaa (LGTI),mwili wa baba yake ulizuiliwa hospitali ya mlonganzila na baadae waliruhusu binti apatiwe maiti ya baba yake ila alitakiwa kuaacha kitambulisho chake cha nida na pia kila baada ya mwenzi alitakiwa kupeleka elfu hamsini hivyo alipeleka kitambulisho chake na kupewa mwili Wa baba yake ila shida ilikuja kwamba binti hali ngumu na bado anasoma wakati huo anahitajika kulipa deni la milioni 9 na pia anaitajika kupata ada .
Taarifa hii iliporushwa mtadaoni muheshimiwa Ummy mwalimu aliliona na kuomba namba za binti huyo deni lake likasamehewa .Kwahiyo hili Bado ni tatizo inahitajika kuwepo na sera nzuri za afya zitakazo wazesha watanzania kumudu gharama za matibabu bila shaka yoyote mfano sera ya bima ya Afya jumuishi Kwa kila mwananchi ambayo sasa ipo ambayo inasubiri utekelezaji wake.
 
Ila Bado tatizo linaendelea licha ya makatazo yote hivyo inahitajika utatuzi wa jambo hili Kwa namna nyingine zaidi kama utekelezaji wa sera bora za afya .
 
Tatizo hili la kuzuia maiti ya mtu mara baada ya ndugu kushindwa kulipa gharama za hospitalini linawatesa watu wengi sana hususani wenye kipato cha chini, kwasababu si kwamba watu hufanya makusudi kutelekeza maiti za wapendwa wao hospitali bali ni hali ngumu ya maisha na deni kuwa kubwa zaidi ya kipato chao.

Mfano kutoka kwenye chombo cha habari gazeti la Mwananchi la Alhamisi tarehe 23-9-2021 walichapisha kwamba hospitali ya Muhimbili ilishikilia mwili wa marehemu anayeitwa Zena Musa mwenye miaka 30, baada ya ndugu zake kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 1.6.

Ingawaje serikali inajitahidi sana kukataza kitendo hiki mfano kutoka kwenye chazo cha habari "Jamii forums" Mheshimiwa Naibu Waziri Wa Afya Dkt Ndugulile naye apiga marufu kitendo hicho cha kuzuia maiti ambapo alisema "ni marufuku hospitali kushikilia maiti kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa". Hii ni baada ya mkasa kumpata Bwana Shabani Mtepa mkazi wa Tandahimba Kwa ajili ya huduma ya kujifungua. Alipofika hospitalini hapo alifanyiwa upasuaji kisha akajifungua mtoto mwenye afya njema lakini mama mwenyewe hakuwa na maendeleo mazuri kwani alivuja uchafu mwingi sana Kwa muda wa siku nne mfululizo. Alipofika siku ya tano alirejeshwa theatre kwaajili ya upasuaji mwingine hali iliendelea kuwa tete, kwani tatizo lile lile la kuvuja uchafu liliendelea na madaktari waliamua kumfanyia upasuaji kwa mara tatu hata hivyo hakukuwa na mafanikio yoyote kwahiyo wakaamua kumpa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa wa mtwara (Ligula) kwa matibabu zaidi. Madaktari wa Ligula pia walishindwa kutatua tatizo lililomkaribia mama huyo hivyo waliamua kumsafirisha hadi hospitalini ya Taifa yaani Muhimbili aliendelea kupata tiba hapo muhimbili Kwa siku nne na ilipofika siku ya tano yaani usiku wa kuamkia tarehe 7 Julai 2020 huyu mama aliaga dunia huku akimwachia mumewe mtoto mchanga wa wiki mbili.

Baada ya hapo ndipo kijana shabani Mtepa alipoanza kufuatilia maiti ya mkewe ili akahifadhi kwenye makazi ya milele lakini akakutana na kigingi cha kutakiwa alipe kiasi milioni 1,470,800 huku akiwa na hali ngumu ya maisha.

Hata kaburi lililoandaliwa kumpumzisha mwili wa marehemu lilifukiwa baada ya kuzuiliwa Kwa mwili huo.
Kutoka kwenye chazo cha habari gazeti la mwananchi la alhamisi tarehe 23 septamba 2021 Pia Kwa kuonyesha tatizo ni kubwa Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alimwagiza Dkt Gwajima kuangalia namna gani utaratibu utaandaliwa kuondoa kadhia ya maiti kuzuiliwa hospitalini.

"Tunaambiwa mtu asiende kuzikwa mpaka deni limelipwa, lakini si deni la serikali nataka muweke mpango mnzuri wa kulipa deni bila kuzuia maiti" alisema Rais Samia. Moja kati ya mpango mzuri ni kutoa gharama za matibabu wakati matibabu yakiendelea. Siyo siku mgonjwa amefariki dunia unadaiwa shilingi milioni 3 huku, anafanya mpango namna gani? Taratibu za mazishi? Hii sio sawa, naomba muweke mpangilio mzuri wa kuyashughulikia haya", aliagiza Rais samia.

Licha ya malalamiko yote haya tatizo bado lipo na watu wanazidi kuteseka. Inahitajika serikali kuangalia suala hili kwa jicho pana zaidi kwa kusaidia kuandaa mikakati minzuri na sheria nzuri zitakazoziongoza taasisi hizi za afya katika kutoa huduma iliyo bora. Pia kunahitajika elimu ya kutosha Kwa wananchi ili waweze kufahamu utaratibu uliowekwa na taasisi za afya baada ya watu kushindwa kulipia gharama za hospitali ili waweze kuchukua maiti za wapendwa wao.

Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo hili kwasababu pia ya kukosa uelewa, kuwa inawezekana kwenda ustawi wa jamii na kupatiwa msaada ambao utawawezesha kupata msahama wa gharama za matibabu utakao pelekea kuwaachiwa kwa maiti za wapendwa wao, ila wananchi wengi hawalitambui hili.

Kwahakika kunahitajika uboreshwaji wa sera za afya na sheria za afya kwa upana zaidi ili kuweza kuwagusa watu wenye hali ngumu. Maana kwa Tanzania watu wenye kutumia bima ya afya wanafika 10%, hii ni baada ya kushindwa kulipa ada za uanachama. Inabidi serikali iangalie namna ya kuwasaidia watu wa hali hii kuweza kupata huduma ya bima kwa kipato chao.
 
Vizuri,

uhamasishaji wa bima za afya uwe mwingi ili kusaidia ongezeko la wanachama ili kupunguza hadha hio
 
Back
Top Bottom