Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,520
Reaction score
7,294
Wasalamu!!

Naoma kujulishwa range ya gharama za kujifungua kwa njia ya OP katika mahospital ya Rufaa, za kawaida na zile za private(hasahasa) na Kujulisha hospitali zipi ni nzuri kwa huduma hiyo, mara nyingi wife to be anapendelea kwenda pale Mount Ukombozi-Morocco bt sina uhakika kama pale kuna mabingwa wa OP...manake karibuni nitaanza majukumu.

My Regards MMU
 
Hongereni...

Kuna pale Hebert Kairuki Mikocheni,they are the best ila sijajua kuhusu bei zake
 
Caesarean section (CS) ndiyo njia salama siku hizi maana waknamama wengi wameonekana kuwa na matatizo na hawajitumi kusukuma wakati wa kujifungua. Hili ni jawabu muwahishe mwenzako hapo Mikocheni au Agakhan, Muhimbiri watu wengi na bei zake siyo mbaya ukitumia 500,000/= Mimi nina watoto 2 lakini hatukuwahi kupigwa kisu (CS) lakini inahitaji moyo wa subira.
 
Wasalamu!!

Naoma kujulishwa range ya gharama za kujifungua kwa njia ya OP katika mahospital ya Rufaa, za kawaida na zile za private(hasahasa) na Kujulisha hospitali zipi ni nzuri kwa huduma hiyo, mara nyingi wife to be anapendelea kwenda pale Mount Ukombozi-Morocco bt sina uhakika kama pale kuna mabingwa wa OP...manake karibuni nitaanza majukumu.

My Regards MMU
TMJ kwa Dr. shafiq, mi nililipa kwa ya Strategis miaka mitatu iliyopita Tshs. 1.9M. Hii ilikuwa gharama za kila kitu tangu kuingia hadi kuruhusiwa, kwa siku nne
 
Caesarean section (CS) ndiyo njia salama siku hizi maana waknamama wengi wameonekana kuwa na matatizo na hawajitumi kusukuma wakati wa kujifungua. Hili ni jawabu muwahishe mwenzako hapo Mikocheni au Agakhan, Muhimbiri watu wengi na bei zake siyo mbaya ukitumia 500,000/= Mimi nina watoto 2 lakini hatukuwahi kupigwa kisu (CS) lakini inahitaji moyo wa subira.

Ungenifafanulia hiyo CS manake siijui kabisa ningeshukuru, ila ngoja nijaribu ku-google huenda nikaambuia somthng...thanks
 
M/nyamala Hospital, mtafute Dr.Semkuya, alinifanyia op 3, bei yake laki unusu mpaka mbili, na hyo mpaka unatoka

Mh Mwananyamala sipaamini kabisa...
 
TMJ kwa Dr. shafiq, mi nililipa kwa ya Strategis miaka mitatu iliyopita Tshs. 1.9M. Hii ilikuwa gharama za kila kitu tangu kuingia hadi kuruhusiwa, kwa siku nne

Mh hii hapana aise..thks
 
kwa nini ajifungue kwa operation kwani kasha pimwa na kugundulika kwamba hawezi kujifungua kawaida?

Hapana, hata mi nimemshauri sana kwamba asifanye OP bt yeye ameng'ang'ana tu iwe hivyo, manake na maza aeke alimkazaga bt sasa amemruhusu pia, infact kuna kitu kinanitisha kidogo...zimebakia wiki3 ili ajifungue, bt yeye anadai anaweza tu kupeform OP kabla hajamaliza hizo wiks, sasa yaani hata simwelewagi aisee!! Plz nishauri vizuri hapo ur experience Madam DEMBA utakuwaumenisaidia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wife ametoka kujifungua siku 2 zilizopita pale agakhani,gharama yake ni 2,814,500/= kama hakutakuwa na complications nyingine zaid ya OP.Wataalamu wanasema njia salama ya kujifungua ni CS kwakuwa motto natolewa bila misukosuko yoyote so hata brain zao zinakuwa safe na wanakuwa bright sana ukilinganisha na wale ambao huwa wanajifungua kwa njia za kawaida zile pilika pilika za kuvuta,mara sukuma mototo wanasema zina distrurb brain za watoto,lakini pia utaendelea kufaidi tunda lako katika hali ile ile UKIFIKA MUONE Dr.CHANJI NI BONGE LA Dr.
 
Yes ofcoz bt bado nipo nacheck ingawa hiyo gharama naweza nikaachieve incase nikishindwa kabisa

Sawa mkuu ila quality ya huduma ndo iwe dira yako,linapokuja suala la.familia huwa hatupimi kina cha mfuko ni kuuchimba tu for their best na ndio maana ya kuwa busy akili inauma na usingizi wa kipimo ili mama na watoto wapate the best out of our pockets!!!!!
 
Back
Top Bottom