Kwa CCM hivi ni viti vya wanawake MAALUMU......Uteuzi wa huyu 'mchungaji' kuwa mbunge wa viti maalumu ni thibiisho halisi kuhusu taswira ya cmm!
She is an opportunist of the highest level!!!
Yumo kwenye scandal nyingi sana, kuna kesi inaendelea ya human trafficking pia anahusika, huyu mama kwa kweli ni PEPO LA CHUMA ULETE
Anaitwa DR. Mchungaji, Mheshimiwa, Mama Getrude Anganile Rakatare.......
Mie huwa namuona kama mtafuta vyeo wa kawaida kabisa katika dunia hii....
Afadhari kidoo Mchungaji Mwanjale wa Mbeya Vijijini.....
Huyu mama nilimdharau siku ya kampeni za udiwani IFAKARA akiwa na Samwel Sitta...
Siku hiyo alikuwa ni kati ya walioshangilia wakati akina DIAMOND wakicheza nyimbo za kidunia wakiwa wamevaa suruali za KATA K....
Yaani, mbele ya cheo kila mwana-CCM goti litapigwa!
getrude lwakatare = padre slaa, mchungaji peter msigwa, mch.israel natse, nk
Anayejadiliwa hapa, kweli ni mch. Getrude Lwakatare na wala siyo Mch. Getrude Mpangalile" RWAKATARE" (Lwakatare??? what is this ?)
LWAKATARE aweza kuwa tapeli na siyo.... Rev. G . RWAKATARE.......huyu ni Mtumishi wa Mungu wa ELIYA
Kuinuliwa kwake Rev. Rwakatare ( simzungumzii LWAKATARE) kulikuwa hivi: - katika mapito ya kidunia aliamua kumtafuta Mungu kivyake na ma-prayer partners wawili -Mama Niku Kyungu(morde)sasa yuko San Francisco USA, na Mrs. Kimara.
Walivaa magunia ya kushona kama suti!!!! pale Msimbazi na Uhuru-AG walikesha na kuomba mwaka mzima!!!! una ubavu kama huo rafiki yangu JF? tuseme tu ukweli jamani wa JF wenzangu, mwaka mzima wewe na madhabahu
usiku kucha!,,,,! mimi binafsi siwezi.
Sasa sikiliza matokeo yake...baada ya maombi ya kulia machozi na makamasi pamoja, mpenyo wake.. masikio ya watanzania yalituwasha, mbingu zilicheka......
She was the first woman to launch NGOs za watoto yatima pia wajane na mambo mengi sana ya kusaidia jamii. Aidha shule zake za St Marys zimelipatia Taifa letu vichwa vyenye adili na akili bora. MCH. RWAKATARE, (siyo huyo LWAKATARE munayemujadili) amepata Prestige and Dignity katika nchi hii, jambo ambalo limemwongezea MAADUI weingi sana kama wale aliokuwa nao mfalme Daudi. hawajaanza leo wala jana. Anawaombea kila siku kwa Mungu
Nimalizie kwa kusema Msichume milaana ya bure kujadili kitu musicokijua, yeye na familia yake sasa Mungu amewaketisha Peponi ya Duniani, wanakula makuku bado kidogo mikia itawatoka, hiyo ni baada ya kisago alichokipata kule Ilala flats. BE CAREFUL and God will Bles u

When you are in Roman.....do as Romans do......
"Fahamu kuwa katika hiyo huduma ya wachungaji kuna kundi la WAHUNGAJI HALISI na kundi la WACHUMAJI. Mchungaji halisi ana ROHO MTAKATIFU (anayechukia uovu na kuukemea hadharani, na hujali wengine) bali Mchumaji ana ROHO MTAKAVITU (anayefanya kila kitu kwa maslahi yake na kuchuma/kulimbikiza kutoka kwa waumini." Kwa ainisho hilo, mimi sijui kuwa Rwakatare yupo kundi lipi. Pima mwenyewe.Mmmmmmhh!