Lizzy ameona hii?Rip Finest! Andika urithi nampenda shemeji! Ninakuhakikishia haya ona tofauti! Wote safari ni hiyo tangulia salama
Mimi nipo vere vere!!!! Tanzania Distileries ukiweka na hiyo kitu kwa oversize si unatafuta Malaria.uh uh uh......unaconnect dots eeeh
Lizzy ameona hii?
sasa kama kuna wazee wa chabo.........mimi ni mzee wa umbea......nampelekea.
hii ni gia ya kukumaliza pande ile. (usisome tena PM zangu)
na hataki wachakachuaji...........mm sio mchakachuaji.Lizzy is so perfectionist hana time na wambeya! Itakula kwako
unajua lile swala la kusoma PM. hivi vyeo unajua vina-rotate.......Nikikikamata one day utanikoma. hahahahahaaaaa!!!Lizzy is so perfectionist hana time na wambeya! Itakula kwako
hehehe acha tuingize hii kwenye bajeti ya kikwete.fest of ol nyumba zote ziwe chabo prufti
hehehe acha tuingize hii kwenye bajeti ya kikwete.
Thank you guys i am doin much better
We mkare, mkare mkare
Masa mbona unanimaliza mapema ningali nikipumua na shemeji yako umeishaanza kumpigia hesabu mapemaRip Finest! Andika urithi nampenda shemeji! Ninakuhakikishia hata ona tofauti! Wote safari ni hiyo tangulia salama
Aisee nitakuwa nakusubiri airportPole sana Switi Hati.. Ngoja nipande ndege ya kwanza kesho asubuhi nije kuku uguza... Ama unahitaji kurudi huko Arachuga kupata DOZI nyingine??
Aisee nitakuwa nakusubiri airport
Nilikuwa kwenye THERAPY SESSION.halaf inaonekana hajapona vizuri huyu, mbona kaweka post 2 tu halaf haonekani tena?
Mkuu nasikia umeishaanza kushambulia ngome yangu lol!Pole sana mkuu pamoja na kuwa na upinzani flani naomba upone.
kalibu tena mkurugenzi! hii sredi yako inatufunza kwamba malaria haikubaliki kabisa. kwa pamoja tusemeni "baba hapendi"Nilikuwa kwenye THERAPY SESSION.
uporoto 01asavali umelejea, kuna njemba (jina kapuni fo sekyuriti rizan) ilikuwa inataka kuondoka na afrodenzi. dah!
kuna na nyengine inaitwa jaluo_nyeupe imekuja na spidi ya ajabu aisee. senk god waifu sio memba wa JF.uporoto 01
kuna na nyengine inaitwa jaluo_nyeupe imekuja na spidi ya ajabu aisee. senk god waifu sio memba wa JF.