Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Kwa niaba ya mke wangu Lady doctor na wengine wote, tunakutakia upone na urudi kwenye hali yako ya kawaida kiafya na furaha kama jinalo linavyojitaja.
Kwa wasiojua ni kuwa huyu mdada ni mgonjwa anasumbuliwa na malaria.
TUNAKUPENDA ladyfurahia!
Kwa wasiojua ni kuwa huyu mdada ni mgonjwa anasumbuliwa na malaria.
TUNAKUPENDA ladyfurahia!
Last edited by a moderator: