Halafu shemeji yangu umepotea sana
Mzima?
ha! wewe binti upo?. mia
tufunge na kuomba
sio bure hawa yanga???!!!
Kwanza hawana history ya kutufunga ndio maana jana wamerukaruka sana lol
nawashanga!!
jana wamejishebedua kweli mnyama atabaki kua mnyama tu!!
Kwanza hawana history ya kutufunga ndio maana jana wamerukaruka sana lol
Kipofu kaona mwezi Ruttashobolwa namuona...yuko niaje?
Badala ya kukaa na mgonjwa unahangaika na Yanga
​wanga safiiiiiii!!!?yanga oyee