Get Well Soon Kipipi mpenzi, MUNGU akupe afya ya mwili na roho.
Passion Lady mzima wewe?
Kuna tu hapatikani siku hizi...niaje?
Hahahahaa shemeji nimehofia unaweza ukala ukamsahau mgonjwa lol
Hahahahaaaa
Kumbe na wewe ni mhanga mwenzangu lol
Pole yetu
si unajua vyakula vikiwa vingi friji linajaa,afu mgonjwa anakula kidogo inabidi tusaidiane kupunguza tupate space kidogo................mpe basi ujawepesi ili akijifungua tuwe tunakunywa mtoli na vitu lainiiiiiiiii
Hahahahaaa
Ngoja apone kwanza maana anawezabaki kitandani kwa mzigo huo mpya
Au pata wewe then ye akusaidie
Hivi hawako server room?
pole sana Kipipi wetu