Get Well Soon FirstLady1!

Get well soon First Lady, nilipoiona hii thread mpaka imeniharibia stimu ya sherehe ya harusi ya Filipo. Pole sana mama Mungu akutangulie
 
Ah! Jamani Mungu huyu! Nilisema mapemaa! Kwamba she will be my Valentine! Nimechanganyikiwa kabisaa get well soon' FL1.
 
atakuwa amekaribia kupona
kuna sehemu nikimtajia
atatamani kuja tu

kwa hiyo, bora upone haraka kabla sijakuingiza kishawishini kwa kuitaja hiyo sehemu na mambo tunayoyafanyaga hapo.
 
bado nipo nipo tu wapenzi
endeleeni kuniombea hii valentine nina appointment
narudi kitandani
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom