Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

flower_pink_lg.jpg

Thanks Mamndenyi
Kwa sasa nimeanza kupata nafuu walau sio mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kijana naona juice niliyokuletea imesaidia sana, pumzika kwanza upate nguvu achana na marejesho aje akumbee hapo kitandani atazidi kukulegeza miguu.
Mzee wa Rula mie niko tayari kumuombea ila lazima nishirikiane na mume wangu Filipo kuomba.... Huwa tukiomba pamoja maombi yanakuwa na nguvu sana...
 
Last edited by a moderator:
jamani alikuwa sweetlady, akaja baba v, mwingine, chimbuvu tena bakulutu na sasa erickb52 nini tena hii kwanini ni jukwaa huili linavamiwa? jamani tukemee hii roho ya magonjwa mwishoni mwa mwaka 2012 kaka yangu erickb52 Mungu anaweza na ni mponyaji jua tunakuombea na Mungu atakuponya pokea imani hii iliyo ndani ya mioyo yetu hasa mm dada yako ingawa niko mbali nawe ila kiroho niko pamoja nawe kaka yangu. Je kuna neno lolote liliolo gumu la kumshinda Mungu baba hakuna yeye aanaweza yote na hata sasa amekuponya tarajia uponyajiwako kaka, Ulituma NENO liponye naye ni Mungu mponyaji usikate tamaa atakuotoa hapo kitandani utapona weka imani yako kwake. ninakuombea kaka
pokea kazawadi kadogo haka nakatuma kwa njia ya ndege ya fastjet ikifika nifahamishe kwa kubeep
 

Attachments

  • getwell.jpeg
    getwell.jpeg
    6.3 KB · Views: 36
Wapendwa wa chit chat naona bado jinamizi la magonjwa linaendelea kuliandama jukwaa letu!


Naomba tujumuike pamoja kumwombea mwana chit chat mwenzetu Erickb52 kwani yu mgonjwa kitandani!


Nawaita kwa moyo wa upendo Filipo, Mungi, PakaJimmy, Arushaone, watu8, Madame B, cacico, gfsonwin, nitonye, Kaizer, Asprin, charminglady, nivea, Preta, Lily Flower, marejesho, Blaki Womani, Kipipi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, King'asti, Paw, Husninyo, snowhite, platozoom, Ndahani, Invisible, Nicas Mtei, figganigga, Bujibuji, babu Dark City na wengine wote!


Njooni tulikemee kwa nguvu hili pepo la maradhi linaloliandama jukwaa letu msimu huu wa sikukuu, tena katika kipindi hiki tunajiandaa kwenda kula bata tanga!
Pole sana Erickb52, hakika Mungu wetu ni mwema na kamwe hamtupi mja wake, nna imani maombi yetu jumlisha na dawa unazokunywa mambo yatakuwa safi soon! Kesho Filipo atakuletea supu asubuhi , PakaJimmy ataleta chipsy kuku mchana na jioni tutakuja na mke mwenzangu marejesho kukupikia kile chakula ukipendacho! Ugua pole sana &



Get well soon dearest!

sweetlady huyo aliyevaa nyeusi hapo juu amesema hataki maombi ya hao waliovaa nyekundu....... sijui kwanini.....edit uwafute wote hao wekundu uwaache hao waliovaa blue ndio anaoamini maombi yao. AMEN.
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! We nenda sentro police utamkuta Mr Rocky ashafika, utaenda kujulia huko.


Hebu mwambie bana aje haraka pale central polisi ya kati kuna kesi zake za kujibu wala asiulize maswali mengi Arushaone fika haraka sana pale cemtral polisi ya kati
Acha bana Mr Rocky, unajua Erickb52 na ndyofu ni dam dam akisikia kuna kreti mahali atakatiza dozi.


Kweli aise jamaa akisikia ndyofu huwa hata kama anaumwa ugonjwa unaisha hapo hapo Erickb52 njoo bana uje uchukue kreti yako ya ndyofu hapa
Nimeharibu wapi rena mkuu Mr Rocky?
Arushaone umeharibu sana hapa mtaani na mwenyekiti wa mtaa tunashirikiana kukutafuta ]
wahi mapema pale central polisi ya kati tukajadiliane tuone namna ya kumaliza haya mashtaka
 
Last edited by a moderator:
Hebu mwambie bana aje haraka pale central polisi ya kati kuna kesi zake za kujibu wala asiulize maswali mengi Arushaone fika haraka sana pale cemtral polisi ya kati



Kweli aise jamaa akisikia ndyofu huwa hata kama anaumwa ugonjwa unaisha hapo hapo Erickb52 njoo bana uje uchukue kreti yako ya ndyofu hapa

Arushaone umeharibu sana hapa mtaani na mwenyekiti wa mtaa tunashirikiana kukutafuta ]
wahi mapema pale central polisi ya kati tukajadiliane tuone namna ya kumaliza haya mashtaka



Mhhhh! ngastuka......siji ng'o!! Ukishakuwa na matatizo yako ukitaka dhamana ndio unipige biti? SIJI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom