CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Alaaaaaa ndio nani?
Bila samahani ingawa hapa si mahala pa kulifafanua hili. Nikuhakikishie tu kwamba huyu mke huyu ni best over all kichwani. Ameenda kupata maujanja ya kunogesha na nimevutiwa na gia alioenda nayo kwa mkwe.... She is good banasamahani Paw samahani sana!
nimemkuta mkeo King'asti analalamika kwa baba yake Mtambuzi kuwa unataka kukata kamba!
sasa nauliza tu!manake baba mtu ameamua kabisa kumpa maujanja mwanae sasa halahala kama kweli ulikuwa na hiyo nia hebu muonee huruma mwenzio mara hii umshasahau twisheni anayopata tpka kwa natalia!
Asante Lily Flower
Asante Lily Flower
ni afya tu imeleta hitilafu kidogo ila niko naingia kwa dr maana hali haivumiliki tena.
Paw asante sana na naomba achana na majungu ya akina snowhite
Asanteni wa JF wote
nimepewaaaje za uso!Bila samahani ingawa hapa si mahala pa kulifafanua hili. Nikuhakikishie tu kwamba huyu mke huyu ni best over all kichwani. Ameenda kupata maujanja ya kunogesha na nimevutiwa na gia alioenda nayo kwa mkwe.... She is good bana
Asante Lily Flower
ni afya tu imeleta hitilafu kidogo ila niko naingia kwa dr maana hali haivumiliki tena.
Paw asante sana na naomba achana na majungu ya akina snowhite
Asanteni wa JF wote
Copy kwa Lily FlowerHahaaaaaaaaaaa hayo masharti ulimpa magumu Erickb52 asingeyaweza.............. ila mimi ningeweza
Anaendelea vizuri mke mwenza! Amesema Mzee wa Rula alipeleka juice kwa muda muafa!Ha ha ha ha ha... Kumbe unatuona charminglady ..... Mie nilijua haya maandishi ambayo hatujayabold huwezielewa .....
Mgonjwa anaendeleaje jamani? @
Mzee wa Rula ulishapeleka Juice?