Get well soon Erickb52

Halafu mchungaji Filipo mzee wa kukemea simuoni kabisa humu! Najua angekemea tu mgonjwa angeshapona.
 
Last edited by a moderator:
Tena waambie wana nuksi hatuwataki

hee!kumbe umeshapona ?au ndo yale yale ya erickb52 unaumwa ndio naumwa,
kazini utaenda siendi naumwa

nguo utafua ,sifui naumwa

ndyofu utakunywa ,ah hiyo nitajaribu

jf utaingia,ah we nitaingia lakini bado naumwa!
 

Erickb52
Nakuombea uzima na afya njema mpwa

samahani Paw samahani sana!
nimemkuta mkeo King'asti analalamika kwa baba yake Mtambuzi kuwa unataka kukata kamba!
sasa nauliza tu!manake baba mtu ameamua kabisa kumpa maujanja mwanae sasa halahala kama kweli ulikuwa na hiyo nia hebu muonee huruma mwenzio mara hii umshasahau twisheni anayopata tpka kwa natalia!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…