Get well soon dear Munkari

Get well soon dear Munkari

Ni nini tena?? Tezi jike naye limempata ?? Poyeee Munkari...Mungu akuponye haraka






!!!!
Wanajamiiforumsf na MMU members, mwanachama mwenzetu munkari anaumwa. Anasumbuliwa na........ Bado yupo hospital anaendelea na matibabu
bado hali yake sio nzuri sana Taarifa hii ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe.

Get well soon best !!!

Lets pray for her.....
 
Thanx hizi taarifa nimezipata ukiwa mzima my Munkari ila una case yakujibu cz hukunipa taarifa
 
Last edited by a moderator:
Thanx hizi taarifa nimezipata ukiwa mzima my Munkari ila una case yakujibu cz hukunipa taarifa

Hahaha jamani case tena
Wataka nipeleka mahakamani!!!
nsamehe buana!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom