muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,603
Siete caro benvenuto!
Siete caro benvenuto!
Siete caro benvenuto!
Hii google translator imetuletea shida, ngoja nije na kigagagigigogo ndio mtakoma mta-search tafsiri mpaka mpauke macho.
Kwenye ugonjwa ,mtoa mada ameweka deshi deshi!! Sijui anaumwa nini!!
halafu kweli, si unajua ukiandika nonihinoo huwa inajigeuza kuwa deshi deshi...
Hii google translator imetuletea shida, ngoja nije na kigagagigigogo ndio mtakoma mta-search tafsiri mpaka mpauke macho.
Hahaaha
Mkuu usipanic usipanic!!!!!
[MENTION]Munkari[/MENTION] Hahaaha
Mkuu usipanic usipanic!!!!!
si hivo bana maana mnatunyima hewa na "Guarisci presto mio tesoro" mara "Siete caro benvenuto!"
Hahaha
Mi fai ridere!!!!!
Sono nato per farti felice !!!!! hata mi naweza chezea mimi wewe!
Hahaha
Nitafsirie buasi! sijaelewa buana!!!
Teh ...sitaki ulivyo nitesa ulidhani zamu yako haitafika...(nasmile huku nimepindisha shingo)
Naomba madokta wa JF watusaidie dalili za ugonjwa wa...........pengine ni ugonjwa mpya na sie tusiekuwa na uwezo wakutibiwa Hindu mandal angalau tujiadhali nao......