Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Good...
Last edited by a moderator:
hahaha uke wenza unataka moyo
Yani unaweza ugua presha.Kuanzia saa kumi kaniambia kaondoka kwake mpaka sasa hivi simuoni
haha pole nahisi kakwama akarudi tena
hahaha hesabu umekula hasara
dr ras ndo kiboko ya kila kitu. Karibu Honey Faith, Yani ndani ya week utaongea lugha zote duniani, labda uwe tu na kichwa kigumu hahahha na tutakurudishia hela yako yote usipoelewa
dr ras ndo kiboko ya kila kitu. Karibu Honey Faith, Yani ndani ya week utaongea lugha zote duniani, labda uwe tu na kichwa kigumu hahahha na tutakurudishia hela yako yote usipoelewa
Asante wenu
nshapoa!!!!
Hivi Munkari una utani na mimi eeeh?Mbona mpaka sasa hivi hajafika?
Nisamehe mke mdogo Honey Faith, mwenzio jana hali yake ilibadilika gharfla ikabidi nimrudishe Hospitali, kwa sasa anaendelea vizuri nami nitakuja nyumbani jioni nikitoka kazini. Love you all cc Munkari
Naam ana mwenzake shemeji.Duuuuh shemeji kumbe wifi yangu ana mke mwenza...!!
Nisamehe mke mdogo Honey Faith, mwenzio jana hali yake ilibadilika gharfla ikabidi nimrudishe Hospitali, kwa sasa anaendelea vizuri nami nitakuja nyumbani jioni nikitoka kazini. Love you all cc Munkari
Duuuuh shemeji kumbe wifi yangu ana mke mwenza...!!
Niwie radhi simu yako iliishiwa chaji hivyo nilishindwa kukupa taarifa, leo utaniona panapo majaliwa mke wangu.