Christinah
Senior Member
- Nov 13, 2014
- 100
- 17
ameeeeen!!!!! ba mchungaji
yani nilivyoona tu haya maombi yako ghafla nikapata nguvu asee!!!!
Ubarikiwe!!!
Pole mamii
ameeeeen!!!!! ba mchungaji
yani nilivyoona tu haya maombi yako ghafla nikapata nguvu asee!!!!
Ubarikiwe!!!
hahaha nilikumiss upo
Hahaha kwani hajakufundisha??
Pole mamii
Nani huyo???
Na huyu mkazi wa nyumba hii anaamini kauli ya ------ ya kumpatia kila mtazania maisha bora. Inawezekana hapa ni Lugoba maeneo ya chalinze!
mumeo
Rogie
Utafiti
Mwambie anipm atakipenda
Sharing is caring!!!
we huoni raha kutunziwa mume loh
Munkari kwani hujui siku hizi unaweza kuunganisha pm? Yaani pm ya miss neddy namimi naweza kusoma....Hahahaha
Safi
Akiweka hii lazima pm iblingbling !!!
Hapana chezeya cute avataz!!!!!
Munkari kwani hujui siku hizi unaweza kuunganisha pm? Yaani pm ya miss neddy namimi naweza kusoma....
Mie sijakuelewa.Hebu fafanua
Una calculator hapo ili tukokotoe vizuri?