Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
huo ugonjwa wa Munkari ni mbaya sana aisee, kwa mamlaka niliyopewa na Mungu, nami nakuombea upate uponyaji kama neno la Mungu linavyosema Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu, magonjwa hayana nafasi, pokea uponyaji hapo ulipo sema Amen. na imani yaki itakuponya.
ameeeeen!!!!! ba mchungaji
yani nilivyoona tu haya maombi yako ghafla nikapata nguvu asee!!!!
Ubarikiwe!!!