Get well soon dear Munkari

Get well soon dear Munkari

Pole Munkari....get well soon.
 
Last edited by a moderator:
Kuweka nyimbo kama unatumia simu ni zoezi halafu hizi nyimbo za get well soon zinanipa tabu sana. Nimeumiza kichwa tangu juzi kutafuta wimbo kwa uzi wa Kim nana sijapata kitu. Nitaangalia baadaye kama nitaipata nitaweka ukiona kimya ndio ujue bado ni mgogoro.

Hata kawimbo kakusindikiza salamu?Usifanye hivyo bwana
 
Last edited by a moderator:
Kuweka nyimbo kama unatumia simu ni zoezi halafu hizi nyimbo za get well soon zinanipa tabu sana. Nimeumiza kichwa tangu juzi kutafuta wimbo kwa uzi wa Kim nana sijapata kitu. Nitaangalia baadaye kama nitaipata nitaweka ukiona kimya ndio ujue bado ni mgogoro.

Ok ukishindwa muwekee wowote tu usindikize salamu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Eeeh we nae nina hamu nina hamu....unataka kututia hamu na sisi ambao hatuna hiyo hamu??

Hahahaha uwiiiii usinifurahishe my wii.Nina hamu ya kumuona jamani sijamuona siku nyingi.Sasa wewe sema una hamu zako mie ni za kumuona.......lol
 
Back
Top Bottom