Get well soon dear Munkari

Get well soon dear Munkari

mkuu Munkari bado una umwa tu?by tha way pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Kijapan...nataka niongee kama wewe pale juu...

Hivi hukuyapata matunda nilotuma...!!!

haya uwe unakuja tuishieni kila siku usiku
aaagh sijayaona buana wauguzi watakuwa wameyatia ndani
em yatume tena niyafaidi !!!
 
haya uwe unakuja tuishieni kila siku usiku
aaagh sijayaona buana wauguzi watakuwa wameyatia ndani
em yatume tena niyafaidi !!!

twisheni za usiku tena, kwani wafundisha watu kuwasha na kuzima taa!!!!

nitayatuma tena kesho first thing morning...
 
Back
Top Bottom