Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Hivi hommie Asprin ukiumwa hangover ndo inakuwa hivi?:lie:
wa kutoa kwenye chama huyu, kama hangover hadi aambiwe get well soon, hatufai
Kajifunza ukubwani hayo mambo hayawezi,
ni heri tu amfuate Bwana.
Tena amfuate kabisa
Kwanza anatusumbua kumbeba kila siku bar
Fitina na udanganyifu ni sumu ya mapenzi.....
Nyie watu watatu nawatafuteni sana niwaangamize kwa kileo.