Get Well soon Asprin

kamanda,pole na kuumwa ndugu yangu.
Aupate wapi u MoD huyu erick? anajitamanisha tu.

Hahahaha....kijana anajipa umaarufu, anataka kumiliki vimwana wa JF kama hii njemba naona.
Pamoja mkuu. Source: AshaDii

Wives_01_1254847a.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nimekoma na threesome cacico, manake nyie mabinti mlimalizana kwanza ndo mkaja kunitengua kiuno. waoneni vile...


yaani kumbe Asprin, BADILI TABIA ye ulimtoa love bite mkononi, na mie naja leo unipe yangu shingoni, lol! siku nyingine ujiandae vema, chezeiya siye weye?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Huyu Babu Asprin mbona kila siku wanamuuguza
Mara wamemtegua Kiuno ,si mgongo kuvunjika ..kesho utasikia mbavu hazijakaa sawa
Babu uwe unatafuta size yako jamani watakumaliza na siku chache zilizobakia.....
Pole sana Babu


87[1].gif
 
Last edited by a moderator:
Habari zilizotufikia hivi punde..... Asprin haumwi chcochote.....
Hii ni mbinumbinu za kujitafutia umaarufu hapa jeiefu.....
Yasadikika ni mpango wa mahusisu wa kunasa wajukuu kwa mpigo....
Ni mpango hatari ulioratibiwa na friimason Erickb52......
Habari kamili na picha za ODM akipiga valuu cum viroba zitakuja soon.....
(BTW Hommmie pole sana asee, hii malaria inaletwa na baridi)

huyu mswati alipigwa juju na kongosho alimwendea nungwi baada ya kupewa kibuti
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha,
kweli naona unaanza kazi ya mzee kidogo kidogo.
Hahahahahaa Mamndenyi naanza aisee siunajua kulea raha sana tena hasa unapokuwa umekuza wajukuu duh full burudani
Naombea hata baada ya Asprin kupona aniachie zoezi la kukagua na kulea wajukuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom