Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
We Kijana Erickb52 ni kijana bora sana. Nisharudi safe and sound. Kazi ni moja tu sasa, kulitumikia taifa thru Chit Chat.Nakuombea upone haraka babu Asprin ili urudi kuwakagua wajukuu wako...
Kwa kipindi hiki cha kuugua ntakusaidia kuwakagua wajukuu!
Get well soon
Nasikia umeukwaa umodereta..... Hongera!!
Last edited by a moderator:
