*get well soon arushaone*

*get well soon arushaone*

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
8,756
Reaction score
7,005
Habari wana CC!!!!!!!

Napenda kuwataarifu kuwa mwenzetu Arushaone ni mgonjwa anasumbuliwa na Pneumonia, kusema ukweli tangu juzi hakuwa katika hali nzuri kiafya japo tulikuwa tukishirikiana nae jamvini, ila kiukweli anaumwa sana.

Naomba kwapamoja tushirikiane kwa maombi na kumfariji pia ili afya yake irejee katika hali yake ya kawaida.

....... Arushaone darling .......
May you get well really soon.
The blessings of Jesus are always
there with you. Please know that
we all are praying for your speedy
recovering, take your medicines timely.

~GET WELL SOON MY SWEET DARLING~
*I LOVE YOU*

Cc: Erickb52, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, Passion Lady, Chocs, sweetlady, charminglady, watu8, Mamndenyi, Vin Diesel, Bishanga, Madame B, Baba V, ladyfurahia, Mungi, Mwanyasi, KOKUTONA, Arabela, Slave, Excellent, figganigga, Mentor, Heaven on earth, Ladymasa, sosoliso, kiwango, Judgement, tinna cute, mimi49, Kongosho, DEMBA, shansarie, Mtambuzi, MziziMkavu, the secretary, Ben Saanane, Smile, farkhina, Kipaji Halisi, Cantalisia, Mr Rocky
Wakuu yaani naumwa kiasi ambacho sijawahi kuumwa maishani!! Sijawahi kupata pneumonia kabla kwa hiyo vichomi mgongoni na kifuani ni kama sindano.

Ugonjwa huu ni matokeo ya baridi kali ya tangu mwezi March hadi mwezi July mwaka huu ambayo ilikuwa kali sana, nami nilikuwa mbishi sana kuvaa nguo za baridi wakati ule.

Natumia dawa kama nilivyoandikiwa na daktari, mchana sio mbaya sana ila usiku nddio naumwa mno kupitiliza ila I know I shall overcome this.

Kutoka moyoni mwangu nachukua fursa hii kuwashukuru wote mnaonipa moyo na kunijali sana.

Shukrani za pekee kwa Lady doctor. Speechless.
 
Mkuu Arushaone wakati unanisms jana ulikuwa unaumwa aise
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka kuweza kurejea kwenye mihangaiko ya maisha
Pole sana mkuu na Lady doctor muuguze vyema jamaa hapo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone wakati unanisms jana ulikuwa unaumwa aise
Pole sana mkuu na Mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka kuweza kurejea kwenye mihangaiko ya maisha
Pole sana mkuu na Lady doctor muuguze vyema jamaa hapo

yeah alikuwa anaumwa ila usiku ndio alizidiwa, sasa hali yake yaendelea vyema kiasi, na natumai ata recover soon tuendelee kumuombea
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom