Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
@Arushaone
![]()
Nimeipenda hii kadi ngoja nami niugue huenda nitaambulia japo moja,,,,
@Arushaone
![]()
hahahaaa, haya bana... siunajua mambo ya ma X? maana fursa zaweza tumika hapoHaaaaaa Hata ukitupa naamini atakuwa ameshaona ua.
In the name of Jesus,may you get quick recovery,amen.
hahahaaa, haya bana... siunajua mambo ya ma X? maana fursa zaweza tumika hapo
Nimeipenda hii kadi ngoja nami niugue huenda nitaambulia japo moja,,,,
x hatongozwi
Hilo ni lazima ulitambue na ulipe kipaumbele.
Katavi usijali;
Ninapenda kama unajua kusoma rangi za maua
hilo siyo ua kama unavyoliona lina ujumbe mahususi;
Soma rangi zake kwanza;
Wewe nitakupa rangi unayositahili
hata kama haujaugua nitakupa tu.
Pole sana dogo... Ukipona nitakupa maagizo.. get well soon.