ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,648
Duh! Kweli umepania kuconnect watu, nauliza tulioko mikoani je, unampango gani wa kuwaconnect watu walioko mikoani
Naona kuna watu
wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in
need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina
yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA,
PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya
Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.