Get Together Party for Singles, Divorced-Dar es Salaam, June, 2013

Get Together Party for Singles, Divorced-Dar es Salaam, June, 2013

Mbali na kitambulisho pia waje na bank statement zao kuepuka connection ya choka mbaya kwa choka mbaya maana utugedha wao utavunjika tena kesho yake asubuhi
 
LENGO LA MKUSANYIKO HUU NI KUFAHAMIANA na KUJIFUNZA MAMBO MBALIMBALI IKIWAMO UHUSIANO, AFYA, LISHE na UMUHIMU WA KUMTANGULIZA MUNGU KATIKA MAHUSIANO.
 
GET TOGETHER PARTY itakuwa endelevu kila baada ya Mwezi Mmoja ama miwili na tutakuwa TOPICS za Ku-discuss na tutakuwa na GUEST SPEAKER(S) kwenye TOPIC HUSIKA.
 
Salaam
Baada ya kufanikiwa kuwaunganisha watu kadhaa na wale wawapendao kwa lengo la kuanzisha familia/kuoana. Sasa tumeanza maandalizi ya Get Together Party itakayofanyika Dar es Salaam, Mwishoni mwa Mwezi June, 2013 (Sehemu mtajulishwa Baadae), kutakuwa na Guest Speakers wa mambo ya Mahusiano, Viongozi wa Dini (Wakristo na Waislam), Wataalam wa AFYA (Madaktari) na LISHE. USIKOSE. KIINGILIO ni 5,000/= kwa ajili ya CHAKULA & VINYWAJI (only soft drinks will be served).
Kuthibitisha ushiriki wako ni-PM. Asante.

Vipi na walio "separate"?....waje pia?
 
nikitoa 5000.....nakunywa na kula nini na nini......? na mtanihakikishiaje usalama wangu.....pale nitakapokutana na mtalaka wangu.....na kusababisha sintofahamu.........?
 
LENGO LA MKUSANYIKO HUU NI KUFAHAMIANA na KUJIFUNZA MAMBO MBALIMBALI IKIWAMO UHUSIANO, AFYA, LISHE na UMUHIMU WA KUMTANGULIZA MUNGU KATIKA MAHUSIANO.

na kupima afya kwa hiyari itakuwepo.........?
 
There are currently 20 users browsing this thread. (6 members and 14 guests)

hili ni hitaji tata eeehhh..........
 
sina kitambulisho cha kura, sikupiga kura
sina leseni ya udereva.
sijui pasport ilipo,missing
sijui wala ofisi ya serikali ya mtaa ilipo
na kadi yangu ya benki ni kitu so private siwezi mpa mtu copy..

.......????????????
ahahahhahahaahahha itakuwa imekula kwako i see!
BTW hauna hata hati ya nyumba???
 
GET TOGETHER PARTY itakuwa endelevu kila baada ya Mwezi Mmoja ama miwili na tutakuwa TOPICS za Ku-discuss na tutakuwa na GUEST SPEAKER(S) kwenye TOPIC HUSIKA.

mi hapa kwenye hili neno la red nikianza kulisoma moyo unadunda!khaaaa! eti Kongosho we hustuki!???
af alivo mchokozi analianza af anaruka mstari anadelea speaker(s)
 
Last edited by a moderator:
Wale walio ktk ndoa mtakaojifanya mpo single ngoja niwape tip...MSISAHAU KUVUA PETE mkikaribia eneo la tukio!
 
Naona kuna watu wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA, PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.

ha ha haaa....
lol!
 
Back
Top Bottom