Get Together Party for Singles, Divorced-Dar es Salaam, June, 2013

Get Together Party for Singles, Divorced-Dar es Salaam, June, 2013

wewe bwana mie niko vere commited ..lakini nataka kuhudhuria kwa kweli ....

Nitakaa pembeni nachukua matukio kwa matumizi ya baadae ....
 
......., KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.[/QUOTE]
Tanzania yetu ina wasomi wengi sana sasa hivi.......
ko tutegemee zaidi ya haya wapendwa
 
We si utakuwepo My Love?
Yaani nimekumiss sana aisee, maana toka tulivyoachana that day sijakutia machoni mpaka leo

he he he haya bana jidai tu hapa.......!!!!!!!
lazima niende asee elfu tano tu, vinywaji, msosi + connection, twende shemeji!!!!!!!!
 
Salaam
Baada ya kufanikiwa kuwaunganisha watu kadhaa na wale wawapendao kwa lengo la kuanzisha familia/kuoana. Sasa tumeanza maandalizi ya Get Together Party itakayofanyika Dar es Salaam, Mwishoni mwa Mwezi June, 2013 (Sehemu mtajulishwa Baadae), kutakuwa na Guest Speakers wa mambo ya Mahusiano, Viongozi wa Dini (Wakristo na Waislam), Wataalam wa AFYA (Madaktari) na LISHE. USIKOSE. KIINGILIO ni 5,000/= kwa ajili ya CHAKULA & VINYWAJI (only soft drinks will be served).
Kuthibitisha ushiriki wako ni-PM. Asante.

Count me in
 
Connections taja tarehe mapema ili sisi wa mkoani tulengeshe hiyo tarehe. najua hatutakosa vimwana wa kujivinjari nao hapo mjini dar
 
Natengeneza vitambulisho fake na kuprint business cards. Nistue PM kama muhitaji.
 
Back
Top Bottom