Get together party 4 single, widow(er) & divorced, june 2013



kazi kwelikweli, kwa nini umeandika maneno mengi SUMMARIZE Mkuu!
 
Hii ya watakatifu
ipo ya Ki Belusconi naandaa
can you find cute entertainers?

Mkuu mimi nitakuwepo nipe Venue na mengineyo...hii ya Watakatifu mmmmmnhh mimi ni mdhambi lakini siku moja dhambi zitatakaswa.
 
Mmetubagua sie wengine? Haya ntaacha pete yangu nyumbani siku hiyo maana mada naitamani.
 

Mi nitakuja kutafuta viburudisho tu. Najua sintokosa kuopoa hao Singles, Devorced e.t.c.

CC: Madame B, bacha, Evelyn Salt, asakuta same & Sumba-Wanga
 
Last edited by a moderator:
jaman Sijaelewa vigezo kwa ufasaha haswa kwenye neno single wasije wakajaa form4 huko, nahic na umri wa washiriki utajwe
 
Ha ha ha,
U-single hauna alama Mkuu Sumba-Wanga!! Tatizo ni kua kila atakaekuja pale anakua assumed yuko single, so anakua ni wa yoyote yule.

Yaani unaweza ukaja nae wewe then akarudi na mimi!!

Duh full migegedo ngoja nisake nafasi na mie nitimbe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…