connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 1,736
- 2,297
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?

na wewe uende kama hujakutana na wale wamama wa all white party.......na wao watadai wako single eti!Hahaha long story short best hii makitu sidhani kama inakufaa...
Hii ya watakatifu
ipo ya Ki Belusconi naandaa
can you find cute entertainers?
na wewe uende kama hujakutana na wale wamama wa all white party.......na wao watadai wako single eti!
Hii ya watakatifu
ipo ya Ki Belusconi naandaa
can you find cute entertainers?
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?
na wewe uende kama hujakutana na wale wamama wa all white party.......na wao watadai wako single eti!
Mbona mada haiendani na walengwa?Wadau mnakumbushwa Get Together party for Singles, Divorced and Widows itafanyika mwishoni mwa mwezi huu June, 2013, Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 13 Juni, 2013. Kwa sababu ukumbi tuliopata unachukua watu 60 tu. So, ikifika hiyo namba (60) hatutakubali watu zaidi tena. Kumbuka: MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA. Watoa mada watakuwa wafuatao;
1. Viongozi wa Dini ( Waislamu & Wakristo)
2. Wataalamu wa Lishe
3. Madaktari Bingwa wa Uzazi
4. Washauri Nasaha toka AMREF
NB: Kiingilio ni Tsh. 5000/= (kwa ajili ya Chakula & Vinywaji (Maji & Soda...HAKUNA POMBE)
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma sms kwenda namba 0718756418 au ni-PM
Asanteni
mwenzangu mwenyewe nilichungulia hii kitu ikabd nitoke kimyakimya,mana ntavyosinzia humo kwenye get together party acha nijipitie