Get the message...?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
,.,.jpg

|
v

0003.jpg

|
v

0002.jpg

|
v

001.jpg

THEN....

0008

|
v

0005.jpg

|
v

0006

Need we say more?
 
Mmmmhhh hiyo picha ya kwanza very ineresting hasa hiyo slogan ya ari mpya kasi mpya ilivyo kwenda na kuchoka kwa raia huyo.
 
inaleta hasira hiyo..........acha jamani wengine tunaroho nyepesi tusije tukaanza kuwapopolea mawe waheshimiwa hawa...........jamani!maisha bora kwa kila mmbongo?
 
Mkuu wangu invisible, hapa umeweka ujumbe kwa akili kubwa na ustadi sana.

Maana, ujumbe huu wa kipicha utafika vizuri sana. Huwa hawapendi kusoma. Lakini, macho hayana ukuta/mpaka, ....

Let those who have eyes to see and see ....
 
what are our priorities? kulikuwa na haja gani ya kujenga jengo la gharama kiasi hicho na ilhali tuna njaa sana?
ona hata benki kuu imemaliza pesa nyingi bila sababu

ili tuendelee tunahitaji uongozi bora wenye kuweka priorities ni muhimu sana. Pesa ipo lakini hatujui kupanga vizuri matumizi ili tutoke kwenye umaskini huu.
Rwanda wanajitahidi sana kwa hili
 
Nd. Ng'azagala,
>Pesa ipo lakini hatujui kupanga vizuri matumizi ili tutoke kwenye umaskini huu.<

Much can be done with limited resources but with unlimited imaginations!
Lakini ndio hivyo tena!
 
mimi kila siku huwa nasema hii nchi kama ni CD inaimba tunaomba tuiweke pozi (tuisimamishe) halafu tuulizane huu mziki unachezeka au auchezeki? au
 
Nd. Ng'azagala,
>Pesa ipo lakini hatujui kupanga vizuri matumizi ili tutoke kwenye umaskini huu.<

Much can be done with limited resources but with unlimited imaginations!
Lakini ndio hivyo tena!

Hiyo inategemea mhusika ana mtazamo gani. Mambo mengi yanafanyika ila linapokuja suala la matumizi ya pesa za umma, picha inayokuwa kwenye kichwa cha mtu anayehusika na kupanga mikakati ni tumbo na matanuzi yake tu! Hadi tutakapoweza kutanguliza ramani ya Tz ikiwa na watu wote humo ndani yake na hasa hasa wale masikini wa Veyula, Mzakwe, Mkuzi n.k mambo yaataendelea hivi hivi hadi Yesu atakaporudi!
 
Ungeweka Gulfstream, VX, Nissan, Benz halafu linganisha na picha za Tandale moja iliwahi kutoka hapa, hospitali zetu zinavyotisha, shule za sekondari zinavyosikitisha, mahakama za mwanzo zinavyochekesha, hali halisi ya mtanzania asiye na matumaini hata kidogo na baadaye tujiulize sisi kama Tanzania what is our priority?????????????????? If we have one at all
 
njia rahisi ni kutengeneza vi-pamphlet na kuvisambaza vyenye ujumbe kama huu ulio rahisi kuelewa. Heading: Pesa yetu inaenda wapi?
 
Invisible Mkuu heshima sana. You have been creative enough. Kwa kweli niliangalia jengo hilo la ubalozi nikajiuliza, Hivi wafanyakazi wake ni kama wa Wizara fulani au wamejenga pia kwa ajili ya biashara (renting office space???). Imagine 10% of 10 billion???? Tehe tehe. Maisha bora kwa kila mtanzania!!!!! Jamani wanasiasa acheni kupotosha maskini na hohehahe wa Tanzania!!!
 
nimesoma juzi kuwa 3rd and 4th floor is for renting ili kuiingizia serikali kipato.yaani sanaa tupu hii nchi.
 
nimesoma juzi kuwa 3rd and 4th floor is for renting ili kuiingizia serikali kipato.yaani sanaa tupu hii nchi.

Tuliambiwa kuwa serikali haitakiwi kufanya biashara, ndio maana viwanda na mashirika yote ya SU wakabifshishwa na kuanzisha agencies kama vile Tanzania Building Agency,Business Registration ald Licensing Agency etc sasa ikija kuwa hivyo ( kama kweli) wananchi tunapata kizunguzungu.

Jengo la ubalozi kenya serikali itapangisha, Jengo la PCCB sehemu itapangishwa, Twin Tower na sasa ubalozi wa marekani nayo sehemu watapangisha sasa hii imekaaje jamani which is which.

Au TBA itafungua branches ubalozini kushughulikia hayo??????
 
Mungu mkubwa!

Amekuwa mkuu always mzee........and all these happen....? need to be more proactive na kuing'oa serikali iliyopo madarakani.....vinginevyo utalia hivyo hivyo mpaka Jesus arudi......!
 
halafu maisha hayo mtu anakwambia rudi homu tulijenge taifa!!kivipi???yaani unaweza kulia walahi tena,mungu pishia mbali
 
Mie ndio nimeshindwa kuelewa kabisa walitumia realtor gani hawa jamaa kununua jengo hilo kwa $10M, maana naona cha juu ni kikubwa mno hapo. Duh yangu macho!!
 
Back
Top Bottom