Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

Utaelewa vipi wakati wewe binafsi unashindia mlo moja kwa siku? I mean a guy who cannot afford to feed himself and thinks all Tanzanians are like him.

hahahahahahahhahahaha That is a good one..
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Mpe Shamba kijijini aondoke Kinondoni alipozaliwa
Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.
 
Kijiji kipi uliwahi kuona wanakijiji wanauza au kununua nyumba ili benki ipate uhakika kwamba nyumba zinauzika vijijini?
Credit rating "companies" ni nini?
Sijarahisisha jambo lolote hapo, Serikali hii ilianza kwa wananchi kupewa hati miliki hadi vijijini ili wananchi wengi wawe na umiliki wa nyumba wanazoishi ili wawe na uwezo wa kukopa kwenye ma-benki. Kama hufahamu Credit rating companies hivi sasa inafanyika Tanzania ili kuwawezesha wengi wakope pesa kwenye banking system yetu sio kwa kujuana na flani. Tuache Majungu! Serikali hii inafanya kazi.
 
Kijiji kipi uliwahi kuona wanakijiji wanauza au kununua nyumba ili benki ipate uhakika kwamba nyumba zinauzika vijijini?
Credit rating "companies" ni nini?
Wacha kudandia mambo ambayo huyafahamu.
 
Charity starts at home brother, kama naliona deni letu likiendelea kushuka well done.
 
Kwa hiyo umeshindwa kuleta data chacha unalialia kama katoto kalikokosa lawalawa. Ati social welfare! Unafikiri inaanguka kama mvua?
Nimeishi nje miaka mingi na kusoma huko so usinifundishe
By the way ni Social Services au Welfare hakuna kitu kama social welfare
Social services na Welfare ni pesa za walipa kodi hutumika kuwasaidia wasio na kazi na makazi nk nimekusaidia kidogo ninyi za kwenu mnaenda kununua ndege halafu mnakuja humu kukebehi hao hao walipa kodi
You need some help I mean mentally haupo sawa
 

Uchumi upi wakati GDP ya taifa imeongezeka tangu JPM achukue mikoba! Unaishi nchi gani mwenzetu?
Formula ya DGP yaweza kukupa picha halisi ya uchumi wa kundi fulani la raia kiuchumi?
 
Unachekesha sana mkuu. Hivi ni mradi gani mkubwa ambao toka kaingia madarakani haujengwi kwa kukopa? Kuanzia standard gauge, fly overs kila siku serikali inakopa lakini anateambia tunajenga kwa pesa yetu.
Hata UK, USA na popote pale duniani hawakosekani watu kama hao ambao hawataki kujishughulisha.
 
Mkuu kama una malalamiko kwa NSSF ya madai upo utaratibu hizi hadithi za Abunuwasi tumeshazichoka humu JF. We deal with facts. Fake news peleka kwenu.
Sijui kama wewe unazijua facts kuliko wastaafu ambao kila mwezi hawajui siku ya malipo yao.
Usilolijua liache lipite lakini fact ni zile ambazo serikali ilisema imekopa kwenye mfuko huo sasa sijui wewe ni msemaji wa nani!
 
Kwa mwendo huu maendeleo ya Watanzania yanakua bila kuwa na mikwaruzo. Wale ambao wanafikiri hii Serikali ilikuwa haijajipanga waote moto kwa mbali. Piga kazi JPM, maana unapeleka Tsunami kwenye miji ya waliokuwa wanakomba utajiri wa nchi hii.
Juzi Ebola imetaka kuingia huyo mumekwenda kuomba hela WHO ya kununua vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi. Condom za kujikinga na maambukizi ya ukimwi hamuwezi kununua kwa hela yenu halafu italeta nye nye nye hapa!!

Wazungu walisema "If wishes were horses even beggars would ride". Tuwe wakweli hizo ni ndiyo za mwendawazimu, kwa Africa kuishi bila msaada.

Tuna viongozi wajinga na wapumbavu sana ndiyo maana pamoja na utajiri mwingi bado hatuna mipango mizuri.

Mobutu Seseseko alijenga Ikulu kikikini kwake Gbadolite pamoja na viwanja vya ndege. Tulimcheka sana kwa vile alipokufa imebakia ni hifadhi ya mijusi na popo.

Huyu Meko naye amejenga uwanja cha ndege kijinini kwake Chatto. Akiondoka madarakani hakuna ndege itatua kule Chato. Halafu ndiyo wanajifanya Afrika inaweza kujitegemea wakati yeye mwenyewe ndiyo kinara wa kufuja fedha kwa mipango mibovu.
 
We jamaa kuna mambo inabidi uwe unakubali tu sio kuona ni lawama. Fanya hata utafiti kidogo ujue muda gani mstaafu anakaa bila kupata mafao yake hata ile pensheni ya mwezi.

Tembelea hata kwenye ofis zao ukutane na wastaafu. Inaudhi sana kama hujawa kuktana na mzee anayefuatilia mafao yake. Hii mifuko unaambiwa haina hela,rejea hata ripot za ukaguzi.
Mkuu kama una malalamiko kwa NSSF ya madai upo utaratibu hizi hadithi za Abunuwasi tumeshazichoka humu JF. We deal with facts. Fake news peleka kwenu.
 
Sijarahisisha jambo lolote hapo, Serikali hii ilianza kwa wananchi kupewa hati miliki hadi vijijini ili wananchi wengi wawe na umiliki wa nyumba wanazoishi ili wawe na uwezo wa kukopa kwenye ma-benki. Kama hufahamu Credit rating companies hivi sasa inafanyika Tanzania ili kuwawezesha wengi wakope pesa kwenye banking system yetu sio kwa kujuana na flani. Tuache Majungu! Serikali hii inafanya kazi.

Jinga wewe unaleta story zako za kufikirika yaani Moody's, S&P ,Fitch etc waje wa-rate credit worthness za majobless na wanakijiji wanaohitaji mikopo.Haya waambie wawa-rate AAA

Lipeni Pensheni/mafao muwe na aibu,mnafanya watu wana aibika mtaani huku mkijifanya eti sisi ni matajiri.

Upuuzi sana.
 
You are wrong, CCM manifesto indicated that the priority of the Government if elected will be to revive ATC, among other things. JPM is just implementing his party's manifesto. Prof Asad should tell us how he managed to fleece NSSF in collusion with Zito and January Makamba. You are just trumpeting his bad behaviour as if JPM is not implementing what he promised the public during his campaign.

English nyingi,upuuzi mtupu lipeni mafao ya watu tumechoka story zenu za kijinga jinga,tuna adhirika mtaani huku mkijiongelesha eti reliance sijui nini.
 
Rais Magufuli ametoa ujumbe utakaodumu kwa muda mrefu sana, ingawa inashangaza mno ni namna gani hao wanaojiita wapinzani walivyoridhika na hali ya kuendelea kuomba misaada, hawaamini kama tunaweza kujitegemea, wanakejeli na wanapita kila mahali kushitaki eti tunyimwe misaada, kwani wanaamini bila misaada hatuwezi kama Taifa.

Nampongeza Rais Magufuli kwa kauli hii dhabiti kabisa kwani imetoa direction ya taifa kwa sasa kuwa tunalenga katika kwenda kuwa Taifa linalojitegemea kiuchumi kwa kupitia Rasilimali zake.

Mambo ya direction hatuyahitaji,tunataka pesa zetu za mafao,tunaadhirika mtaani.

Wastaafu tulipwe hela zetu ndo story za direction sijui ya nini ndio zianze la sivyo hizo ni kelele tu maskioni kwetu.
 
A Picture is Worth a Thousand Words,Ili Pozi la Mawaziri hawa limeniacha natafakari sana, yani kila mmoja alijiandaa kwa moment hiyo with full respect to make history.Kuna something very unique kwenye Picture hii.Mh Rais ana wafuasi wengi wanatamani siku moja wawe nyuma ya viatu vyake katika mataifa yao.

Wakishakua nyuma ya viatu vyake ndio NSSF itajaa hela za wastaafu kulipwa sio?
 
Get rid of donor mentality wakati huo huo deni ni 20trl tshs,
Huku hood ni hasira tu
 
So bora hata wangekuwz wanakopa kweli, maana anayekopa anarudisha, wanacholifanya wao ni kuchota tu huko huko zilipo BOT, halafu hao nssf waandike wanavyoweza maana hazirudi tena hizo,
Nilipomsikiliza nilicheeeka! Huku serikali yake inakopa senti za NSSF ambazo ni mishahara ya wanyonge waliyowekeza ili wakistaafu walipwe, leo wanyonge wanasotea malipo yao kwani NSSF haina pesa za kuwalipa.
 
Jinga wewe unaleta story zako za kufikirika yaani Moody's, S&P ,Fitch etc waje wa-rate credit worthness za majobless na wanakijiji wanaohitaji mikopo.Haya waambie wawa-rate AAA

Lipeni Pensheni/mafao muwe na aibu,mnafanya watu wana aibika mtaani huku mkijifanya eti sisi ni matajiri.

Upuuzi sana.

Wewe kalia majungu mambo ya kuongoza Serikali huwezi. Unafikiria unaendesha familia yako? kama hufuati sheria ulie tu ati pensheni ulilipa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom