Una habari deni la taifa limeongezeka kwa karibu 90% ya wakati jamaa yako anaingia kwenye power ?!. Sasa iko 52 Trl. Unawabeza unaowakopa ?!Mkuu kama una malalamiko kwa NSSF ya madai upo utaratibu hizi hadithi za Abunuwasi tumeshazichoka humu JF. We deal with facts. Fake news peleka kwenu.
Huyo dogo achana naye, si wa kujibizana naye. Akili yake ndogo sana anahitaji ushauri wa kisaikolojia.Bingwa wa kutukana
Nimekutukana wapi?
Nimekuuliza maswali
Usichanganye mambo
Wewe ndio umekuja na matusi
✌
Kweli wewe hamnazo ! Usomeshe mtoto ana masters hana kazi, halafu unaona solution ni kumwambia akalime ?!. Huu ni uwehu.Kazi zipo bwelele ni wewe mwenye matatizo, wake up you idiot! Nenda shika jembe kalime! Unafikiri kazi ni lazima uajiriwe, umesomeshwa uwe na mawazo ya kutatua matatizo yako na ya nchi hii sio kutukana na kuandika upuuzi.
Ahahahaaaa . Usije ukamkimbia . Kumbuka mmetubana na sheria zenu mbovu za takwimuWeka data hapa wakati anaingia tuone, wacha majungu!
Wote watalima bwana Dua ?!. Hata yeye alianzia ualimu. Usiwabeze wasio na kazi. Wazazi tumefirisika kuwafikisha watoto hapo , halafu hakuna return !!.Kwa hiyo wale wenye masters hawatakiwi kulima, ajabu na kweli, kuna vituko utavion JF tu.
Nimkimbie kwa kisa gani? Nipo hapa tangu 2006 mbona sijakimbia ingawa niliadimika kutokana na shughuli flani flani katika kipindi flani. Mwache alete data huko anakozichimba kama dawa za mitishamba, hapa ndipo tunakata mzizi wa fitna. Wakati JK anaachia ngazi deni lilikuwa kiasi gani na sasa ni kiasi gani?Ahahahaaaa . Usije ukamkimbia . Kumbuka mmetubana na sheria zenu mbovu za takwimu
Hayo ya kubeza ya kwako, yaani nawafahamu wengi tu wenye masters na ni wakulima wazuri tu, wakitumia taaluma zao walizozipata. Kwani unafikiri kulima ni kule ambako wewe unafahamu ie. kwa jembe la mkono? Unaweza kuwa mkulima kwa kutumia machinery nk. kazi sio lazima kuajiriwa ukishasoma unakuwa na mawazo mapana zaidi ya kufanya shughuli yoyote ile ya kukuwezesha kuishi maisha bora zaidi.Wote watalima bwana Dua ?!. Hata yeye alianzia ualimu. Usiwabeze wasio na kazi. Wazazi tumefirisika kuwafikisha watoto hapo , halafu hakuna return !!.
Mwenye degree anarudi kumpiga mzazi mzinga ?!. Bora ya awamu zilizopita
It would make sense if the government would have started to implement the budget. One of the issue that Prof. Asad had pointed out as a weakness of the government is adherence to a planned budget. His words are a "flute played to the deaf". How in the world would you start implenting that independent thinking if you haven't started identifying and financing the basic need of the country...madege sio basic need of a growing economy.
Wanafunzi wengi wa vyuoo vikuu wanakosa mikopo kwa ukosefu wa fedha huku fedha zikitumiwa vibaya kununulia vitu visivyo na maana kwa taifa.
Serikali hii imekopa hela nyingi kwa miaka minne kuliko Mkapa alivyokopa kwa miaka kumi huku ikizitumia kwenye White Elephant Projects. Very silly indeed.
Hata kama utumii unaweza ukatumiwa nzi au mbu wa bandia mwenye sumu ukapotea kabisa.Au kupitia mionzi au mawimbi ya sauti au chochote.Technology ni pana sanaHakuna kitu cha hatari kwa dunia ya sasa kutofautiana na wazungu kwa kipindi kama hiki ambacho technology wanaimiliki wao. Wanaweza wakakupoteza faster labda uwe utumiii vitu vya technology
Bila mtaji ?!. Mbona unarahisisha mambo magumu ?!Hayo ya kubeza ya kwako, yaani nawafahamu wengi tu wenye masters na ni wakulima wazuri tu, wakitumia taaluma zao walizozipata. Kwani unafikiri kulima ni kule ambako wewe unafahamu ie. kwa jembe la mkono? Unaweza kuwa mkulima kwa kutumia machinery nk. kazi sio lazima kuajiriwa ukishasoma unakuwa na mawazo mapana zaidi ya kufanya shughuli yoyote ile ya kukuwezesha kuishi maisha bora zaidi.
Bila mtaji ?!. Mbona unarahisisha mambo magumu ?!