Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Jamani wilaya zote za mkoa huu zina manailon kitandani. Mimi ni mgeni kabisa huku, nimejaribu kuwauliza wenyeji wangu wananiambia eti mipira hiyo ni kwa ajili ya tendo la ndoa.
Lakini cha ajabu mbona mikoa mingine hali hiyo hamna?
Lakini cha ajabu mbona mikoa mingine hali hiyo hamna?