Gesti za mkoani Kagera na mpira wa nylon kitandani.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,053
Jamani wilaya zote za mkoa huu zina manailon kitandani. Mimi ni mgeni kabisa huku, nimejaribu kuwauliza wenyeji wangu wananiambia eti mipira hiyo ni kwa ajili ya tendo la ndoa.
Lakini cha ajabu mbona mikoa mingine hali hiyo hamna?
 
wanaogopa wale wanaoliwa tigo wakiachia mzigo basi isiwe tabu kwa wao kusafisha.....na pia ata wale wanaomwaga kawaida
 
Wanahofia kuozesha magodoro ya Guest House sababu ya "amaizi" yanayotoka baada ya kale ka mchezo! kwa ujumla Ukanda wote wa Magharibi wanajua mchezo huo. For info Rwanda, Burundi,Uganda up to Camerun wanjua kupiga had kutoa "amizi"
 
Kilanja? Umesema wewe mgeni, iweje katika ugeni huo umeweza kuzungukia gest zote na kukuta hayo manailoni?????? Na ulipoyakuta uliyatumiaje? Uliwauliza wenyeji wako matumizi ya nailoni hizo???. Hebu fanya uchunguzi utuambie sie ambao hatujayaona hata kwa macho.
 
Jamani wilaya zote za mkoa huu zina manailon kitandani. Mimi ni mgeni kabisa huku, nimejaribu kuwauliza wenyeji wangu wananiambia eti mipira hiyo ni kwa ajili ya tendo la ndoa.
Lakini cha ajabu mbona mikoa mingine hali hiyo hamna?

Hiyo ni kwa ajili ya katelero.
 
Wateja wao wengi vikojozi so wanaozesha magodoro,hvyo hizo ni njia za kupambana na vikojozi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom