king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
naomba kujua gesi ya bonde la mto ruvu inapatiakana maeneo yapi , ukizingatia bonde la mto ruvu ni sehemu kubwa.
Hamuachi jamani, hata kama Rizmoko kanunua, yule ni raia kama raia mwengine ana haki ya kumiliki ardhi kama imegundulika ndani ya shamba au eneo lake ni wazi enep litarudi kwa serikali au umesahau sharia ya ardhi, madini na gas vya serikali, kukiota bangi ni yako na utajibu mashtaka ha ha ha lol,Sio habari ya kufurahia hilo eneo lilishanunuliwa na rizmoko siku nyingi.
Hapo sikubaliani na wewe labda useme kwamba CCM ni sehemu ya tatizo ila sio tatizo lenyewe. Wazungu wanataka tubadilishe chama ili wanufaike na rasilimali kwa 100% ndio maana R. G. Mugabe alisema kwenye mkutano wa AU kwamba kikwete aliambiwa na wazungu kwamba wameichoka CCM hivyo afanye mabadiliko kwa chama kingine, unadhani wanasema hayo kwanini ikiwa wanafaidika na utawala wa CCM? Jibu ni rahisi tu, wanataka vibaraka wao watawale ili iwe rahisi kujichotea rasilimali tofauti na sasa ambapo wanaona kama wanabanwa. Tunachotakiwa ni kuishinikiza CCM ifanye mageuzi ya kikatiba na kuleta mapinduzi kama ya China, vinginevyo hakuna kipya maana wapinzani wa CCM ni vibaraka wa wazungu.
Utaota sana mwaka huu ................!!Ahsante Kikwete kwa kuwakinaisha hawa wawekezaji wa kutafuta gesi na kuwawezesha kusambaa Tanzania nzima.
Matunda ya kazi zako tutayala daima Tanzania.
Utaota sana mwaka huu ................!!
Naona bado huamini kama jamaa kishaondoka hivyo na haitatokea arudi tena ................... pale Magogoni!!