Gesi ya ujazo wa futi Trilioni 2.17 yagundulika Bonde la Mto Ruvu

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
TANZANIA imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.

Ugunduzi huo wa gesi asilia umefanywa na Kampuni ya Dodsal Hydrocarbons and Power Tanzania Limited ambayo imekuwa inafanya shughuli za utafutaji wa gesi na mafuta katika Mkoa wa Pwani.

Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Pilavullathil Surendran alisema jana katika mkutano wa wawekezaji wa gesi na mafuta ulioandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwa, thamani ya gesi iliyoko katika eneo hilo inafikia Dola za Marekani bilioni sita sawa na Sh trilioni 12.

Ugunduzi huo mpya unafanya hadi sasa Tanzania kuwa na amana ya gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trilioni 57.27. Kwa upande wake, Profesa Muhongo alithibitisha kugundulika kwa gesi hiyo tangu Julai mwaka jana, lakini akaeleza kuwa Serikali imechelewa kutangaza ugunduzi huo kama inavyoagizwa na Sheria ya Mafuta ya Mwaka 2015 kutokana na shughuli za uchaguzi.

“Sheria mpya inatutaka kabla ya waziri mwenye dhamana ya gesi kutangaza ugunduzi mpya wa gesi na mafuta ni lazima athibitishiwe na mamlaka ya udhibiti wa bidhaa za Petroli na Gesi (PURA). “Wizara yangu itawasiliana na mwanasheria mkuu wa serikali ili kupata ushauri wa kisheria kuhusu jambo hilo na bahati nzuri tayari PURA imeshaanza kushughulikia jambo hilo na naamini kuwa nitatangaza ugunduzi huo mpya hivi karibuni,” alifafanua Profesa Muhongo.

Licha ya ugunduzi huo mpya tayari gesi imegundulika katika maeneo ya kisiwa cha Songo Songo mkoani Lindi na eneo la Mnazi Bay huko Mtwara na katika Wilaya ya Mkuranga, Pwani pia kumegundulika kiasi kikubwa cha gesi.

Chanzo: HabariLeo
 
“Nimekuwa nasema nchi yetu si masikini. Hii nchi ni tajiri sana, lakini wapo watu wamekuwa wanajinufaisha wao. Wapo tayari wapokee virushwa ili waneemeke wao huku Watanzania wengi wakiumia na kuteseka. “Ndio maana nasisitiza kwamba nitaendelea kutumbua majipu ya viongozi mafisadi na wala rushwa''-Rais Magufuli.
 
Next ni development of resources...interesting area of discovery kwa sababu moja, ni karibu na Dar es Salaam, hii inaifanya inaleta maswali kwa miradi ya kuleta gesi Dar kutoka Mtwara( Sipingi uamuzi ), pili ni mbali na Mtwara/Lindi kwa maana ya kuunganisha na makampuni mengine kwa mradi wa gesi kimiminika. Options nyingine kama kuzalisha umeme na viwandani tayari kuna miradi mikubwa ( ni sawa pia kuongeza MegaWatt ) kwa viwandani gesi ipo tayari Wazo, ambako ni karibu pia na Pwani. Anyways, mwekezaji atajua business plans zake, thanks ametuletea kodi na ajira
 
Tanzania Mungu ametupendelea sana...najivunia kuwa mtanzania lkn chocho nyng ad kutoboa!!
 
Tusomeshe watoto wetu kwenye mambo ya kupambana na ufisadi mkubwa ili gesi hiyo inufaishe taifa
 
Tanzania imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.

Ugunduzi huo wa gesi asilia umefanywa na Kampuni ya Dodsal Hydrocarbons and Power Tanzania Limited ambayo imekuwa inafanya shughuli za utafutaji wa gesi na mafuta katika Mkoa wa Pwani.

Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Pilavullathil Surendran alisema jana katika mkutano wa wawekezaji wa gesi na mafuta ulioandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwa, thamani ya gesi iliyoko katika eneo hilo inafikia Dola za Marekani bilioni sita sawa na Sh trilioni 12.

Ugunduzi huo mpya unafanya hadi sasa Tanzania kuwa na amana ya gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trilioni 57.27.

Kwa upande wake, Profesa Muhongo alithibitisha kugundulika kwa gesi hiyo tangu Julai mwaka jana, lakini akaeleza kuwa Serikali imechelewa kutangaza ugunduzi huo kama inavyoagizwa na Sheria ya Mafuta ya Mwaka 2015 kutokana na shughuli za uchaguzi.

“Sheria mpya inatutaka kabla ya waziri mwenye dhamana ya gesi kutangaza ugunduzi mpya wa gesi na mafuta ni lazima athibitishiwe na mamlaka ya udhibiti wa bidhaa za Petroli na Gesi (PURA).

“Wizara yangu itawasiliana na mwanasheria mkuu wa serikali ili kupata ushauri wa kisheria kuhusu jambo hilo na bahati nzuri tayari PURA imeshaanza kushughulikia jambo hilo na naamini kuwa nitatangaza ugunduzi huo mpya hivi karibuni,” alifafanua Profesa Muhongo.

Licha ya ugunduzi huo mpya tayari gesi imegundulika katika maeneo ya kisiwa cha Songo Songo mkoani Lindi na eneo la Mnazi Bay huko Mtwara na katika Wilaya ya Mkuranga, Pwani pia kumegundulika kiasi kikubwa cha gesi.
 
Gesi Nyingine Yagundulika Bonde la Mto Ruvu....Ina Ukubwa wa Ujazo wa Futi Trilioni 2.17

Huyo kapunguza sana hela hizo...

As of 2015 Dec... the price of Natural gas for home consumers in U.S... is roughly $ 10 = 1000 foot cubic of Natural gas...

Mathematically....

0.01 US$ is roughly 1 foot cubic of Natural gas...

So 2.17 trillion foot cubic is

0.01 × 2.17 = 0.0217 trillion dollars

= 21.7 billion dollars...

But just make it 25% is given away boz of total costs till production...

So roughly remaining 15 billion dollars.... which is around tshs 35 trillion dollars...!!

Huyo ni Mhindi aliyetangaza hiyo bei... muwe makini sana na wahindi... wezi sana.. sana sanaa..

So, Wahindi, wasifanye watu hatujui bei ya gas kabisa.... hapo katoa dhamani ndogo sanaa ili aibe....na Waziri anamsikiliza tu..

Yaani...!!
 
mkuu washaanza kupiga dili hawa jamaa...
yaani dahhh hawa jamaaa ni hatari sana mkuu wanatufanya watz wajinga sana hawa jamaa
hebu naomba calculation zake vizur mkuu...source
 
huyu muhongo sio h
Huyo kapunguza sana hela hizo...

As of 2015 Dec... the price of Natural gas for home consumers in U.S... is roughly $ 10 = 1000 foot cubic of Natural gas...

Mathematically....

0.01 US$ is roughly 1 foot cubic of Natural gas...

So 2.17 trillion foot cubic is

0.01 × 2.17 = 0.0217 trillion dollars

= 21.7 billion dollars...

But just make it 25% is given away boz of total costs till production...

So roughly remaining 15 billion dollars.... which is around tshs 35 trillion dollars...!!

Huyo ni Mhindi aliyetangaza hiyo bei... muwe makini sana na wahindi... wezi sana.. sana sanaa..

So, Wahindi, wasifanye watu hatujui bei ya gas kabisa.... hapo katoa dhamani ndogo sanaa ili aibe....na Waziri anamsikiliza tu..

Yaani...!!
umeelezea good sana mkuu...........
 
Ilikua Ntwara ikaja Lindi sahv Pwani Ruvu sitashangaa Kigamboni Dar es salaam kumegundulika gesi eh Mungu tuongoze. Tz Tutatoboa tu
 
Ni aibu na uongo kusema Tanzania ni nchi masikini . Na hakuna useme unao niudhi kama ule wazungu wanaopenda kutumia "Third world country".
 
Eebanaeee ingemkuta mkwele iyo, nahc wasinge tangaza mpaka wayamiliki kwanza!! Daa facjet kapigwa kanza, Magufuli nae ataweka mabomba ya ges toka Pwan ampaka chato
 
Gesi Nyingine Yagundulika Bonde la Mto Ruvu....Ina Ukubwa wa Ujazo wa Futi Trilioni 2.17

Tanzania imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.

Ugunduzi huo wa gesi asilia umefanywa na Kampuni ya Dodsal Hydrocarbons and Power Tanzania Limited ambayo imekuwa inafanya shughuli za utafutaji wa gesi na mafuta katika Mkoa wa Pwani.

Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Pilavullathil Surendran alisema jana katika mkutano wa wawekezaji wa gesi na mafuta ulioandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwa, thamani ya gesi iliyoko katika eneo hilo inafikia Dola za Marekani bilioni sita sawa na Sh trilioni 12.

Ugunduzi huo mpya unafanya hadi sasa Tanzania kuwa na amana ya gesi yenye ukubwa wa futi za ujazo trilioni 57.27.

Kwa upande wake, Profesa Muhongo alithibitisha kugundulika kwa gesi hiyo tangu Julai mwaka jana, lakini akaeleza kuwa Serikali imechelewa kutangaza ugunduzi huo kama inavyoagizwa na Sheria ya Mafuta ya Mwaka 2015 kutokana na shughuli za uchaguzi.

“Sheria mpya inatutaka kabla ya waziri mwenye dhamana ya gesi kutangaza ugunduzi mpya wa gesi na mafuta ni lazima athibitishiwe na mamlaka ya udhibiti wa bidhaa za Petroli na Gesi (PURA).

“Wizara yangu itawasiliana na mwanasheria mkuu wa serikali ili kupata ushauri wa kisheria kuhusu jambo hilo na bahati nzuri tayari PURA imeshaanza kushughulikia jambo hilo na naamini kuwa nitatangaza ugunduzi huo mpya hivi karibuni,” alifafanua Profesa Muhongo.

Licha ya ugunduzi huo mpya tayari gesi imegundulika katika maeneo ya kisiwa cha Songo Songo mkoani Lindi na eneo la Mnazi Bay huko Mtwara na katika Wilaya ya Mkuranga, Pwani pia kumegundulika kiasi kikubwa cha gesi.
Bora isigundulike tu. Maana hakuna jipya zaidi ya kutupandishia bei
 
No comment
50f7fdf79bc97f4a179ee3011e4fd83a.jpg

Hii gesi iliyogunduliwa isichibwe kwanza. Watanzania wapewe utaalamu wakuzalisha hii gesi kwa kupitia mradi wa gesi ya mtwara miaka mitano sio mingi kupata wataalamu. Tusiendekeze wawekezaji kupita kiasi tuchimbe wenyewe sasa.

Sio rahisi kihivyo. Ukisikia gesi imegunduliwa ina maana kuna kitu kinaitwa exploration kimefanyika hadi kuifikia. Na kuna mtu alishaweka hela kufanya hiyo kazi. Sasa unamwambiaje ondoka tutachimba wenyewe baada ya miaka 5 tukishajifunza? Hapo issue ni kuwa na mikataba mizuri inayonufaisha pande zote.
 
Back
Top Bottom