PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
 
wavimba_20251206_072626_0000.png

Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
 
Serikali imekuwa ya waimba taarabu kama alivyo kiongozi wake yule shangingi.

Kama wamejipanga maneno mengi ya nini, tukutane Field D9,huko ndo kutajulikana nani alijipanga na nani hakujipanga

Haya mengine ni mbwembwe tu.
 
Hata msemaji wa dikuteta sadam huseni alikuwa anatisha watu hivihivi ila muda ulipofika walitokomea historia huwa haidanganyi iko siku vyombo vitapoteana
 
Vijana washenzi wakisikia vyombo viko tayari wanapagawa.
Wakiweka tu pua tutazikata
Watu walipokuwa wanatekwa na kufirwa hivyo vyombo vilikuwa wapi? Au ni vyombo vilivyo tayari kuteka na kuua kwa maslahi ya viongozi majizi? Tarehe 9 tuko barabarani tena.
 
Serikali imekuwa ya waimba taarabu kama alivyo kiongozi wake yule shangingi.

Kama wamejipanga maneno mengi ya nini, tukutane Field D9,huko ndo kutajulikana nani alijipanga na nani hakujipanga

Haya mengine ni mbwembwe tu.
Uko sahihi kabisa tarehe 09122025 kitaeleweka, baada ya hapo tusisikie milio kutoka pande yoyote ile. Watoto wa mjini wanasema tukutane field.
 
Umepiga spana

Na kujitamba sana mwanetu. Bravoo.
 
Vyombo vya ulinzi vya kuwalinda wahuni wachache! Huku vikiteka na vikiwaua maelfu ya wananchi wasio na hatia, ni takataka tu 🚮!
 
Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati watu wanatekwa na hakuna majibu ya wapi walipo?!
Anamaanisha hayo mabakuli yako tayari kumlinda yeye na wahuni wenzake, nasi tuwe tayari kuwaonyesha tanganyika hatuko tayari kutekwa na kuuwawa.
 
W
Uko sahihi kabisa tarehe 09122025 kitaeleweka, baada ya hapo tusisikie milio kutoka pande yoyote ile. Watoto wa mjini wanasema tukutane field.
Mkuu WEwe nani msisikie milio,acha kujipa hati miliki ya hii nchi.

Subiri D9.
Hii mikwala haisaidii hata bibi muuaji aliisema,Leo hii kamwangushia zigo huyo jamaa mlopokaji.

Acheni taarabu
 
W

Mkuu WEwe nani msisikie milio,acha kujipa hati miliki ya hii nchi.

Subiri D9.
Hii mikwala haisaidii hata bibi muuaji aliisema,Leo hii kamwangushia zigo huyo jamaa mlopokaji.

Acheni taarabu
Mimi ni Ntu tu, tarehe husika haiko mbali, tumeshauriana vya kutosha. Tuone vitendo sasa, ngonjera hazisaidii sana.
 
Back
Top Bottom