PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya kiusalama kupambana nayo


 
Hal sio shwari , watu bado waendelea kutekwa, kubakwa na kufirwaaa, yani hali sio rafiki sana
 
Watalii naomba wanisikilize Mimi. Nchi yetu bado SI shwari. Watu bado wanatekwa.
 
Vyombo vya kiuwaji vinaendelea kuteka, na kuuwa wananchi, na vinaendelea kuwalinda ma ccm majambazi.

maandamano, kuchoma na kuuwa ndiyo lugha pekee wanayoisikia na wanayoielewa ccm na polisi wao.
 
Back
Top Bottom