evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,898
Wakati anaelezea kuhusu sakata la Meli iliyokamatwa huko El Salvador na Shehena ya Madawa ya Kulevya iliyokuwa inapeperusha bendera ya Tanzania .
Gerson Msigwa alieleza kwamba Zanzibar ni mwananchama wa IMO kwa hiyo wanaruhusiwa kusajili Meli na kwamba Serikali ya Zanzibar ndio ilisajili Meli hiyo.
Sasa ukipitia list ya wanachama wa IMO kwenye website ya utaona Zanzibar haijaorodheshwa , sasa kwanini Msigwa aliongea uongo huo? Aliongea hivyo ni kwa kukurupuka au ?
Kwa nini Zanzibar wanauchezea sana huu Muungano halafu wao ndio wanajifanya eti wana kero nyingi sana kuhusu Muungano.
www.imo.org

Member States
www.imo.org