GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,157
- 110,635
Mwana Yanga SC Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo) ameishtaki Klabu yake pendwa ya Yanga SC TFF na kuitaka haraka sana ilipe Mamilioni ya Shilingi kutokana na Mashabiki wa Yanga SC kwa makusudi kabisa kuharibu Miundombinu ya Uwanja wa Benjamin Mkapa uliofanyiwa marekebisho makubwa na Serikali huku Klabu ya Simba nayo ikigharamia eneo la Ununuzi wa Samani zinazotumika sasa Uwanjani hapo.
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!
Chanzo: Spoti Leo Radio One
Kazi ipo......!!