Germany - Dr. Slaa alivyojidhihirisha kwa ulimwengu

Mbowe for presidency 2015

No don't go that way....umepoteza mwelekeo.Rudi kwenye topic

Huu mkutano mbona wa Kawaida Chadema kwa ushabiki, halafu ukitaka kujua kama huu ni wa kawaida sana kuna jamaa mmoja amekaa kulia makaratasi ya mkutano kayaweka chini...Slaa kapendeza kaachana na magwanda.

Wivu mbaya sana. Karatasi kama ilipeperushwa na upepo utasema zimewekwa chini......Hilo suala la maavazi lisikupe shida.Next year BAVICHA tuta-design kofia za kimapinduzi kabisa.Ritz sijui utasemaje tena! Mtalalamika sana....!

kas_28275-1609-2-30_90.jpg
kas_28266-1609-2-30_90.jpg
kas_28279-1609-2-30_90.jpg
kas_28270-1609-2-30_90.jpg


DR. SLAA AT THE KAS-DAY Also available in Deutsch

50 years of worldwide democracy - under this slogan renowned politicians from Germany and across the world looked back on the "impressive success story" of KAS during this year´s KAS-Day which took place in Berlin on the 27th of June. Among the discussants was Dr. Willbrod Slaa, Secretary General of CHADEMA, the Tanzanian partner party to KAS. He shared experiences with politicans from Myanmar, Belarus and Venezuela on the topic "No future for dictators, people want freedom".

Nimependa hiyo 'no future for Dictators'......Safi sana!

However,Talking about democracy we must engage the people in every aspect especially dwelling on mental attitude!

Democracy or any form of govt, the African attitude and old ways of doing things still persist. with time, we are for sure going to get to the
promised land. From debt relief, we may be shifting to attitude change.

The impending problem beclouding the average Tanzania is indiscipline. discipline entails you to fear God, our elders, respect our law and constitution and several other things that make man and existence worthwhile. But we lack total and absolute discipline to grow in all facet of human endeavor.

The present administration, failed miserably to inspire the mass,failed to change the attitude of an average Tanzanian man on the street. Why do you aspire to be MP of your constituency? Is it to help improve the common man's worth or to make money for you and your family yet unborn? This is the common thinking of a Tanzanian man.

Ask a Tanzanian child what he want to be in future. 7 years ago, he would have told you for sure he want to be a soldier. And today? He wants to be a politician!

We must change our attitude before things around us will start to change



 
I am sorry.So, what's your point? I mean, what are you trying to say?

I believe U were not the one who WROTE the MOVE; so I really did not expect you jumping SHIP; that's the

Problem of us Tanzanian's always apologizing for anything, they steal our Minerals we apologize, they steal our

land we apologize now they are in a process of stealing our GAS we have already starting apologizing....

BE STRONG PLAY YOUR PART... This was not for U ...
 
Jk hawezi akaenda nje akapoteza muda wake kujadili na akaacha kuzunguka mji mzima kupiga picha na warembo tofauti.

Chezeaaaaa jk
 
na wewe inabidi ukatubu kama ni mkristo hizo pesa wanazowapa zitawatokea puani wapi idd amin?
 
na wewe inabidi ukatubu kama ni mkristo hizo pesa wanazowapa zitawatokea puani wapi idd amin?

Sijaiba mali ya nchi na kuificha nje ya nchi kwa ajili ya kulipa wahujumu na kuwanunua wapiga kura. Niko innocent guy ever. Bahati nzuri mie si purpet wa chama ila mpenda maendeleo na mageuzi. Sichuchumii au kubembeleza kupata kitu au cheo serikalini, kwani maisha yangu ninachojaliwa na Muumba mradi kinanihuisha uhai nimeridhika, ninachowaonea huruma watanzania wenzangu wanaotaabika sababu ya wachache wenye kujali masilahi binafsi badala ya masilahi ya umma.
 
Magwanda yako wapi? Josephine yuko wapi? Rose yuko wapi?

Duh, hii mipasho tena, tunaongelea Chadema kutuma uwakilishi kwenye mkutano wa kimataifa, mambo ya magwanda si ya huko Ujerumani, vinginevyo wasingeeleweka kuvaa gloves zitumikazo jikoni kwenye oven wakati wako hospitalini wanakohitaji plastic soft gloves. Nenda na wakati na nenda na mazingira.
 
vasco da gama akialikwa anaweza kusema ni vihehere vyenu, in english it is there are front line ambition that is why they sex every where and every time while me i am picturing on how to manufacture voda fasta teachers.Jembe limeitwa bwana just imagine hajachukua nchi lkn yuko ktk deep discussion na wanaojua mageuzi ni nn.siyo u-Mwigulu mwigulu hapo.Kuweni wapole,wakweli,wavumilivu na wasikivu wa M4C
 
vasco da gama akialikwa anaweza kusema ni vihehere vyenu, in english it is there are front line ambition that is why they sex every where and every time while me i am picturing on how to manufacture voda fasta teachers.Jembe limeitwa bwana just imagine hajachukua nchi lkn yuko ktk deep discussion na wanaojua mageuzi ni nn.siyo u-Mwigulu mwigulu hapo.Kuweni wapole,wakweli,wavumilivu na wasikivu wa M4C

Obama kabla ya kuchukua nchi alialikwa Ujerumani kutembelea na kutoa msimamo na mtazamo wake kimataifa, wajerumani walimkubali na hali hiyo ilimpa Obama hali ya kujiamini zaidi baada ya kuona ulimwengu ulivokuwa na matarajio juu ya msimamo wake.

Chadema hali kadhalika, wajua bahati ya kualikwa mmojawapo kuwa wanajopo wa kuendesha mjadala huo wa kimataifa ni nafasi adimu sana ambayo imewafungua kimataifa kuweza kufahamika itikadi zao na mtazamo wao kimataifa. Kwa vyo vyote Katibu Mkuu huyo licha ya kuwa mmja wa watoa mada katika kikao hicho, alipata wasaa wa kukutana na baadhi ya watu na vyombo vya habari ambako aliweza kuueleza ulimwengu itikadi na matarajio ya Chadema kwa Tanzania na dunia na papo kupata fulsa ya kujifunza mengi ambayo ni muhimu kwa kujenga Chama.
 
Ukiona mwanaume anamwangalia mwanaume mwenzake kwa makini na kwa undani ujue anatafuta mchumba huyo!

Hahahaha acha utundu bana hapa JF. Wewe sikukujua ulivyo na vituko, maana una saikkolojia ya hali ya juu mno ya kumsoma mtu. Acha mie nijifungie usije nisoma kwamba naangaza macho kutafuta waliokoswa, mie na machungu ya hali ngumu ya maisha.
 
Back
Top Bottom