Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,877
unaishi kwao ukajua hajawai kumuita mkewe darling ?Mapenzi ni kitu kingine,huoni hata Mbowe anamwita Wema baby,wakati hajawahi mwita darling mkewe Liliane.Pole George naona ulitaka kuua kwa sababu ya mapenzi.
Kweli kabisa.Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.
kabisa mke wa mtu unamvuliaje mtu nguo?Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.
Sasa nani atairipoti hiyo kutoka kwa" Joooooji Maratuuuuuu Ai Tiiiviiiii, Mmaraaaaamm!"Taarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na mkewe. Inasemekana pia ameichakaza taxi aliyokuja nayo dereva huyo kwa mapanga kiasi cha kuiharibu vibaya! Taarifa zaidi zinatonya kuwa kumekuwa na ugomvi kati yake na mkewe huyo kiasi kwamba leo mwanamke alimpigia simu dereva taxi anayetuhumiwa aje kumchukua na kumrudisha kwa wazazi wake ndipo yalipotokea masahibu hayo baada tu ya dereva taxi kufika kwa lengo la kumchukua mwanamke ambaye alisha-pack vyake!
Ye bora angekula chabo mwanzo hadi mwisho wa tendo la ndoa, ili aone anakoseaga wapi ajirekebishe waishi vizuri kuliko haya aliyofanya.Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.
mhhhhh mapenzi bhana, but tumezika mke wake nadhani sio zaidi ya mwaka na nilihudhuria mazishi yake i am not sure kama alioa tena or ni mpenzi tu? Ngoja nifuatilie ukweli wa taarifa hii because kuna watu wa karibu yake nawafahamu .Taarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na mkewe. Inasemekana pia ameichakaza taxi aliyokuja nayo dereva huyo kwa mapanga kiasi cha kuiharibu vibaya! Taarifa zaidi zinatonya kuwa kumekuwa na ugomvi kati yake na mkewe huyo kiasi kwamba leo mwanamke alimpigia simu dereva taxi anayetuhumiwa aje kumchukua na kumrudisha kwa wazazi wake ndipo yalipotokea masahibu hayo baada tu ya dereva taxi kufika kwa lengo la kumchukua mwanamke ambaye alisha-pack vyake!
Kabisa aende zake. Utaishia jela huku nyuma yule uliyemfanya alizaliwa kwa ajili yako ataendelea kupanua na wengine watazaidi kutamani.Kwa kweli, mimi faster tu, aende zake ili awe huru na huyo jamaa, yaani wanawake wote hawa hadi wanafika hatua ya kutembea uchi barabarani ili tu watushawishi eti nije kumng'ang'ania mmoja tu! Akwende huko!
criminal trespassTaarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na mkewe. Inasemekana pia ameichakaza taxi aliyokuja nayo dereva huyo kwa mapanga kiasi cha kuiharibu vibaya! Taarifa zaidi zinatonya kuwa kumekuwa na ugomvi kati yake na mkewe huyo kiasi kwamba leo mwanamke alimpigia simu dereva taxi anayetuhumiwa aje kumchukua na kumrudisha kwa wazazi wake ndipo yalipotokea masahibu hayo baada tu ya dereva taxi kufika kwa lengo la kumchukua mwanamke ambaye alisha-pack vyake!
We binti huna mumeMapenzi ni kitu kingine,huoni hata Mbowe anamwita Wema baby,wakati hajawahi mwita darling mkewe Liliane.Pole George naona ulitaka kuua kwa sababu ya mapenzi.
Kazi kweli kweli
Kwani uliambiwa ni lazima kuwa na mme?By the way ninae mme wangu na hafanyi upuuzi kama wa Mbowe.We binti huna mume
Wewe uantuhumiwa kutembea na mke wa Fulani, unaitwa na huyo mwanamke eti ukamchukue mbele ya mume wake umrudishe kwao, na wewe kimbelembele una kwenda bila kujiuliza. Ukichezea panga ni halali yako.Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.