Geo Davie umechemsha, huu ni udhalilishaji

Na kondoo wake waliomo humu wajifunze watakuja kutukanwa na familia zao madhabahuni "unyumbuism"wanainama wanasikiliza upuuzi eti unabii.
Mungu siyo mpumbavu
 
Key za mmamma zenu wootee mnaowatetea hao ‘wazinzi, hata kama huyo mchungaji ni ‘kanjanja’ mlitaka amwambiaje huyo ‘sugar mummy’ zaidi ya kumkemea? Na walifata nini apo kanisani kama si kutaka kudhalilika? Na huyo mario kwanini asinge kula kona badala yake akaenda kumleta ‘mammuu’ madhahabuni ( hata kama ni ya kipagan)’
 
Back
Top Bottom