Geo Davie umechemsha, huu ni udhalilishaji

Sasa angewaitaje ofisini wakati hapo lengo ni kujionyesha kwa umma kwamba ana uwezo wa kujua mambo ya watu kimiujiza?
Sasa badala ya kupata watu atajikuta watu wanamkimbia.
Kwanza hata hivyo Kisha poteza kabisa mivuto
 
Upuuzi mtupu yeye alijuaje dada wa watu ametembea kwingi kabla ya kumpata huyo kijana, kitendo alichokifanya ni udhalilishaji tu, hakuna unabii hapo ni zaidi fikra zake tu za kawaida, Huyu awezi kuwa nabii wala mchungaji kbs, ashukuru aliliotea gemu likamkubali now anavimba na kujikutaaa
 
Back
Top Bottom