Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,160
- 33,045
Ona unavyochanganya lugha. Yaani hufahamu aidha Kiswahili au Kiingereza. Ha ha ha, nani atakuelewa? Ulimbukeni ni kitu kibaya sana.I got your point. Wakati wazungu wanatuita Afrika kuwa ni bara la giza...nafikiri waliangalia watu kama wewe na waka-conclude. Maskini Tanzania...!