Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Yuko vile vile toka mahaba niuwe hadi Niteke.

(Uzuri wa mwanamke sio sura)
[emoji23][emoji23]ukitaka kumjua vizuri cheki ngoma zake za zaman kipndi make up haikai
 
Kweli mtulivu, na ametoka familia tulivu

Msomi pia, ana jiwe lake la Masoko kichwani

Mtoto wa Mr. Sama...lecturer Chuo Kikuu Ushirika Moshi
[emoji122][emoji122][emoji122] kwa ladies kama ni roll model unatafuta, huyu anafaa
 
Maua kumbe fiesta alikiwasha vizur
 
Dar alikuwepo huyu fundi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom