Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Ana mzungu wake
Hv huo u wife material unaonekana kwenyr nyimbo zake au?!
Si nilisikia mkewe ameondokaNdio, bado yupo kwenye ndoa.
Mkuu kwani huwezi kuchanganya pombe na mapenzi?Ningekuwa sijaji commit kwa pombe huyu ni miongoni mwa wanawake ambao ningemsogelea
Hata hvyo connection ...tatizo connection ndo maana ma gentlemen wanashindwa
Hakuna lolote huyu changamsha genge tuNdio swali nalojiuliza na sipati hata picha aisee, yan wife material unamjuaje kwa vipicha vya instagram ? me nlidhan mpaka umjue mtu ni wife material lazima kuwe na kujiingage nae kwa namna fulan, yan lazima kuwe na interaction ya hapa na pale na uwe unajua her ways ndio utajua kama anafaa au hafai, Unless otherwise jamaa ni mtu wa karibu wa huyo mwanadada na kaona anateseka hapati bwana kaamua kutufikishia wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwani huwezi kuchanganya pombe na mapenzi?
Si mekuuliza wife material unamjuaje kwa kumuona kwenye tv?!Khaaa
Si nilisikia mkewe ameondoka
Before he is 'mume wa mtu' he is a celebrity... Habari zake nakutana nazo popote hata kama sikukusudia kuzifuatiliaUnapata wapi ujasiri na muda wa kufuatilia mume/ mke wa mtu?
Swali zuri sana ngoja tuone analipi la kujibu?Wew toka uanze kutafuta una hela ngap?
Si mekuuliza wife material unamjuaje kwa kumuona kwenye tv?!
Still sio sababu ya kuonekana n wife material haujakaa naye vipi kama mkorofi na anamaneno machafu na blah blah ila hapendi kujionesha?!Aisee mkuu wife material kumuelezea ni kazi sanaaa.
Lakin kwa kifupi naweza sema sifa zake
Sio msichana mwenye attitude hata kidogo, sijawai kuona akitoleana povu lolote na mtu kwenye social network, au yeye kusemwa vibaya
I means anajua kuish na watu.
La pili pamoja na kuwa yeye ni star, anaweza kupata mwanaume anae mtaka lakin hana fikra hizo.
Anachojua swala la kuolewa ni Mwanaume ndie anapanga, so katulia anasubr future husband ajilete mwenye vigezo, na sio wale wa chapa ilale.
Anataka ndoa kabisa na kukenga familia.
Njoo kwa Vannesa sasa yeye anawaza apate mwanaume mtamu tu, na mweye jina kubwa. Hajui hata kuwa anatakiwa kuolewa.
Still sio sababu ya kuonekana n wife material haujakaa naye vipi kama mkorofi na anamaneno machafu na blah blah ila hapendi kujionesha?!
Hakuna lolote huyu changamsha genge tu