Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Wew kama mtu mzima una watoto wangapi?

If you want to change the world, go and love your family with wisdom.
Sasa wewe dogo huna hela halafu unafungua uzi unawaasa wanaume wenye hela wamvishe shela , are okey upstairs ..hapo juu hapo pako sawa?!
 
We nawe kichwa panzi kweli, kuna sehemu nimeandika wanaume wenye hela.
Sasa wewe dogo huna hela halafu unafungua uzi unawaasa wanaume wenye hela wamvishe shela , are okey upstairs ..hapo juu hapo pako sawa?!
 
Ngoja niongeze juhudi kumbe maua wife material [emoji1732] mwenye Namba yake anipm
 
Aliko soma kuna mahusiano gan hapa??
Niwa kawaida ndio, ila ongezea hapo wife material.
Dem wa kawaida Sana nimemjua kitambo toka anasoma shule ya kata ,siwezi jisumbua apo
 
Si kila mtu ni limbukeni. Na watu wana vigezo tofauti tofauti vya kuoa. Kama wewe amekuvutia kwa nini usimuoe?
 
Ukisema Roma muhuni,
Ni couple gan ya msanii maharufu wa bongo yenye muda mrefu kama Roma na mkewe?
Roma anazaidi ya miaka 10 kwenye ndoa
Aah wapi, miaka kumi ya wapi? Hata hivyo ndoa bado ipo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom